Barua kwa mpenzi wangu aliyefariki

Barua kwa mpenzi wangu aliyefariki

Am so sorry for the loss, God's work has no mistake so what I will tell is try to forget and go on with life you still have long way to go.God loved here most, may here soul rest in Peace.

I will move with my life but will never ever forget her for real
 
mkuu kuondokewa ni pigo ila usijiapize kutopenda tena!maisha yanaendelea...

kwa kizazi hiki cha utandawazi sidhani kwa asilimia 98 kama kuna mwenye kujitambua kama yeye,hakupenda makuu na alinielewa sana ,inauma sana
 
nakuhakikishia mkuu mda utakubadilisha na MUNGU awe nawe.

yupo nami mkuu ila jua kuwa namsimamo na ulimwengu wangu ndani nyanja tofauti ,hatuko sawa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom