Barua kwa Mke Wangu...


Shem Kaizer unamtaka wewe???!

Halafu ni wapi amekuhakikishia au PM? Aje hapa aseme mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Shem Kaizer unamtaka wewe???!

Halafu ni wapi amekuhakikishia au PM? Aje hapa aseme mwenyewe...

hahahaa yaani ni hivi, jihadhari na watawa na wake za watu,,,,unamkumbuka yule wa dar yule mwenye mtoto?
 
Dogo hana adabu. Kanifananisha mi na huyo dr wake feki.

yani eti hommie Asprin wewe wa kuacha Audi 3 kisha papuchi moja tu? umeziona ngapi? hana adabu kabisa huyu....
 
Last edited by a moderator:

Itanichukua wiki kumaliza kusoma hii barua
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Aine, not exactly. Idea ilikuwa hiyo ya huo wimbo but We gave it a different perspective to it! So kusema in its entirety ni summary ya huo wimbo nadhani ni ku-mislead wavivu wa kusoma kama Mashaxizo, tinna cute na kalou.
Usijali, ila naamini hutorudia tena na utamrudia Mungu ili badala ya kumtumikia shetani umtumikie Mungu na mkeo wako mwema atakuwa na amani na furaha daima. Na yeye kwa kweli nampongeza ni mke mwema kama biblia inavyosema, ukimuacha huyo ujue laana itakuwa juu yako
 
Sista hebu ianze uone kama humalizi leo leo...!

Mentor, kilichonichosha sio urefu wa barua ni hapo uliposema :- Ndoa tuliyofunga January 28, 2017 siku ya Jumamosi..still fresh in my mind. :help:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…