Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,209
- 27,026
true that AshaDii...ndoa ni taasisi yenye changamoto sana,na inayohitaji uvumilivu wa hali ya juu..na siku zote wanawake sie ndo tunavumilia mengine makubwa na magumu kama ya mume wangu Mentor..nakubaliana na wewe kwenye no 1-6 ila kwenye no. 7 hapana,ukimuamini mtu nusu nusu unakua hauna amani kabisa
na ukiamini sana napo ndo ivo unakua dissapointed
kwani leo tarehe ngapi mwezi wa ngapi? na barua imeandikwa tarehe ngapi mwezi wa ngapi?
future possible tense iyo
Ablessed umenena kweli
kwa hali ya kawaida tu hakuna mwanaume anaeweza kumsamehe mke wake kwa jambo la aibu kama hilo,na hata kama anampenda kiasi gani,bado atafikiria watu wa nje watakavomchukulia incase akisamehe,watamuona ni mwanaume wa aina gani? heshima yake kwa jamii inayomzunguka na nduguze itakuwaje? lakini sisi wanawake huwa hatujali,Mungu katupa mioyo yenye kuhimili mikiki mikiki kutoka upande wa pili
Yani we Mentor wewe. Yani mi na wewe tunahitaji kuwa na serıous talks.
BTW huyo dokta kama mkeo angekuwa Heaven on earth sidhani kama angetoka salama. LOL
Siku zote nlijua mwallu ni sista wa Paroko.... kumbe kijana hatare sana weye
Ohooo. Kumbe in future una mpango wa kuukana wito wako. Ahsante kwa taarifa.
Tangu nijiunge na JF MENTOR ni moja kati ya watu ninaowakubali hususani kwenye hadithi zake tangu ile ya " sosoliso" kufumaniwa gest huku yeye akiwa manager wa gesti,MAMA PRINCESS,TANGA SITORUDI TENA na hii ya leo....daah sio siri mkuu we mkali ...nawait hadithi nyingine hapa...keep it up GT
Kumbe wasambaaa wanasaidia sana reehh, thanks I learnt something here. Tatizo ni kwamba shetani akishasimama hata hizi hadithi za Mentor hutaki kuzifikiria wala kuziamini yaani muda huo unaona nanihino tuuuuuuu. God bless the Woman by Lucky Dube
Shikamoo babu mpenda hela...na papucci!???
Hela???Mi sipendi hela zitanipekeka moto. İla papuchi sawa. İle makitu ina sura mbaya sijawahi kuona lakini ni tamu isiyokinaisha. Yes, İ love pussy.
Umesahau nilivyokudanganyia pesa ukasema kila kitu babu?
Ila kweli unapenda nyau kuliko pesa, yani umekataa AUDI A3 SPORTBACK kisa PUSSIE!??? we noma...
Usiwe mvivu kama babu Asprin wewe...isome umuite na mumeo Erickb52 na mashemeji zako Arushaone na Filipo na LiverpoolFC waisome...maana yaweza wakuta haya!
Salaam dada AshaDii,
I am humbled and thanks for the contribution.
Ila shukran kubwa na za kipekee zimwendee mke wangu kipenzi mwallu ( Cc: Kaizer na mwekundu ) kwa kunikubali hata baada ya yote haya...love u babes, I certainly will make it up to u soon.