Barua kwa Lowassa

Barua kwa Lowassa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU itakutokea tena muda si mrefu.
dhumuni la barua yangu hii mheshimiwa ni kutaka kukueleza kuwa jipange mwaka 2015 ninakuja kupambana na wewe hukoo monduli, ni kweli unajua kuhadaa na ahadi kedekede ndugu yangu, ni kweli unajua kutumia wamasai ambao walikuwa hawana elimu kukupigia kura ila mwisho ni 2015 nitatangaza nia ya kukupinga zama za kupita bila kupingwa au kupita kirais zimekwisha jiandae kaka nimekulia monduli nimesoma monduli na nitawakomboa wana monduli..... najua nitakuwa na challenge nyingi sana ila mungu ndie atakaenisaidia na wananchi wataamua siku zote naamini inawezekana
 
Comrade utatumia tiketi ya chama gani? ili marekebisho ya daftari la wapigakura nihamishie taarifa zangu monduli ili uipate kura yangu,ntafanya hili pale tu utakapo tumia tiketi ya CDM Nambie Comrade utaitumia tiket ya chama gani?
 
kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU itakutokea tena muda si mrefu.
dhumuni la barua yangu hii mheshimiwa ni kutaka kukueleza kuwa jipange mwaka 2015 ninakuja kupambana na wewe hukoo monduli, ni kweli unajua kuhadaa na ahadi kedekede ndugu yangu, ni kweli unajua kutumia wamasai ambao walikuwa hawana elimu kukupigia kura ila mwisho ni 2015 nitatangaza nia ya kukupinga zama za kupita bila kupingwa au kupita kirais zimekwisha jiandae kaka nimekulia monduli nimesoma monduli na nitawakomboa wana monduli..... najua nitakuwa na challenge nyingi sana ila mungu ndie atakaenisaidia na wananchi wataamua siku zote naamini inawezekana

Wabongo bwana,umeona Monduli ndo chaka la kwenda kuombea Ubunge kisa umesomea huko.Ka kwambia nani kuwa watu wa Monduli wana shida na ka elimu kako.Watu wa Monduli wanachohitaji Mtu safi,Siasa safi na mpenda maendeleo.Badala ya kusema ume au utawafanyia nini watu wa Monduli unaleta porojo za elimu!
 
mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo na nilikuwepo arumeru na ninaamini nitashinda kwa kishindo sababu n mkazi wa monduli na nina nia ya kukomboa taifa letu sina msamaha na mafisadi na cv yangu inaniruhusu kufanya hivyo na mungu ndie tumaini langu siku zote
 
ok ino namkumbuka jamaa aliwahi kuja kijini kwetu na kushusha bendera ya chadema kwa nguvu ila alipandisha sababu ntulitumia sheria. siwezi kuishi kwa amani wakati wana monduli wananyonywa kabisa hilo nakataa,EMBU ATUAMBIE WATOTO WAKE WAMESOMA WAPI NA KWA NINI? imefika wakati uongo unajitenga na ukweli na kwa taarifa yake wamasai ndio wamenipa hili jukumu la kufanya haya na si wao tu ni wana monduli wote wamekosa imani nae. ivi bwana lowasa unakumbuka ahadi ulioitoa monduli kipindi cha kampeni? eti utatengeneza barabara za lami hadi vichochoroni zipo wapi na zitawasaidi nini wananchi wa mto wa mbu ndugu yangu? ivi unajua ndugu zako wa kimasai wanavoishi kwa tabu kwa kukosa maji? ivi unatambua vile visima ulivochimba mpaka leo havina maji?JIPANGE
 
Sishangai kwa majibu yako ndugu ila tambua kuwa muda wa mafisadi umeshakwisha na wananchi wanataka mtu safi si kwa maneno bali vitendo kilichokosekana kwa ndugu zetu wa ccm ni vitendo maneno yamezidi na nina imani nitatimiza haya sitakatishwa tamaa na chochote
wabongo bwana,umeona monduli ndo chaka la kwenda kuombea ubunge kisa umesomea huko.ka kwambia nani kuwa watu wa monduli wana shida na ka elimu kako.watu wa monduli wanachohitaji mtu safi,siasa safi na mpenda maendeleo.badala ya kusema ume au utawafanyia nini watu wa monduli unaleta porojo za elimu!
 
Lowassa hagombei ubunge bali urais mkuu, ndo maana alienda arumeru kuhakkisha anapata ndondocha lingine! Anaota ndoto akipigiwa mizinga 21 pale uwanja wa taifa na kuitwa mheshimiwa rais, dk edward ngoyai lowassa,, kipenzi cha watanzania!!! Puuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!
 
Wewe kama ni gamba mwenzake pole, ila kama utampinga kupitia chama makini nakutia moyo endelea na mipango yako.
 
Kama vipi ang'oke tu huyu Lowahasa. kwanza anaongea kwa kuviziavizia, iko gonjwa dani yake! toa hiyo she!
 
mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo na nilikuwepo arumeru na ninaamini nitashinda kwa kishindo sababu n mkazi wa monduli na nina nia ya kukomboa taifa letu sina msamaha na mafisadi na cv yangu inaniruhusu kufanya hivyo na mungu ndie tumaini langu siku zote

Hakuna kisichowezekana!
Mageuzi ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi!

Wao wana pesa! Sisi tuna MUNGU aliye hai!
Choma ndani Kamanda!
 
Lowassa atagombea urais 2015 kwa tiketi ya CCM. Ubunge hagombei.
 
kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU itakutokea tena muda si mrefu.
dhumuni la barua yangu hii mheshimiwa ni kutaka kukueleza kuwa jipange mwaka 2015 ninakuja kupambana na wewe hukoo monduli, ni kweli unajua kuhadaa na ahadi kedekede ndugu yangu, ni kweli unajua kutumia wamasai ambao walikuwa hawana elimu kukupigia kura ila mwisho ni 2015 nitatangaza nia ya kukupinga zama za kupita bila kupingwa au kupita kirais zimekwisha jiandae kaka nimekulia monduli nimesoma monduli na nitawakomboa wana monduli..... najua nitakuwa na challenge nyingi sana ila mungu ndie atakaenisaidia na wananchi wataamua siku zote naamini inawezekana

Maelezo yako (barua?) yanapelea sana, but All the Best katika Safari yako kuelekea kukwaa Ubunge.
 
Hivi huyu mzee kumpa tafu mkwe wake pale jirani na kwake arumeru,imeshindikana.KWELI URAIS ATAUWEZA?
 
Wabongo bwana,umeona Monduli ndo chaka la kwenda kuombea Ubunge kisa umesomea huko.Ka kwambia nani kuwa watu wa Monduli wana shida na ka elimu kako.Watu wa Monduli wanachohitaji Mtu safi,Siasa safi na mpenda maendeleo.Badala ya kusema ume au utawafanyia nini watu wa Monduli unaleta porojo za elimu!

Mbona imekuuma sana? Huo ni msimamo wake,ingekuwa vema na wewe utangaze kushindana na huyo katika nafasi hiyo.kadhalika jitahidi kuepuka kali ya ujumla eg.watu wa monduli! Nani na wewe?
 
Back
Top Bottom