OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mwaka huu mkuu wa nchi lazima apasuke kichwa aisee.....ila ocampo ana point kiasi fulanikazi ipo uko alipo mkuu wa nchi!
Waziri ni hatari kwa kulenga, kitu mara moja tu kimeshika.....wale wanawake tasa wamtafute mheshimiwa waziriKumbe Aunt Ezekiel ndiyo ileeeeee tayari kitu.....mtoto ataitwa Lion (jina la mnyama) manake baba yake sii ni waziri wa maliasili basi lazima tumpe jina la kimaliasili....
Hahahahaha ni kweli mkuu, lazima itamuongezea pressure.....ocampo kasahau moja.........Baba while you are away, familia yako imetajwa kwenye sakata la ESCROWHii barua akiiona profesa lazima ajitoneshe wallah!!
Umeongea kama stori ila ujumbe wako una meseji kubwa sana mkuu ocampoLeo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu
Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka
Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka
Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW
Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote
Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu
Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu
Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni
Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu
Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi
Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma
Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani
Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani
Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri
Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda
Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini
Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba
Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu
Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?
Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2
Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada
Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi
Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......
Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
Hhahahahahha kwaiyo mkulu yupo humu..........au ndiyo wanatumia ile ya Chabruma na LizaboniMkuu ocampo four ninaruhusiwa kutoa copy hii barua ili nimfikishie Joka la mdimu maana umekiuka protocol ilipaswa umcopy maana yupo hapa Jf na ID fake.
ni kweli wale walioenda kwenda utalii marekani utalii wao umezaa matunda mema hongera muheshimiwa wa utaliiLeo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu
Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka
Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka
Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW
Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote
Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu
Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu
Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni
Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu
Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi
Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma
Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani
Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani
Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri
Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda
Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini
Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba
Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu
Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?
Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2
Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada
Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi
Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......
Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
Mwatuli 2mbakuKweli Nyalandu sharp shooter
ni yupi wassira auWaziri ni hatari kwa kulenga, kitu mara moja tu kimeshika.....wale wanawake tasa wamtafute mheshimiwa waziri
Nyalandu hafai katika taifa hili, hana maadili kabisa.......na ile issue yake ya Charles Dunken hivi ni kweli? anatoa 07133333Kumbe Aunt Ezekiel ndiyo ileeeeee tayari kitu.....mtoto ataitwa Lion (jina la mnyama) manake baba yake sii ni waziri wa maliasili basi lazima tumpe jina la kimaliasili....