Barua kwa baba wa taifa mwl. Nyerere

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni I.G.P,raisi anaishi airport,tanzania imetokana na muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe,hayo machache na mengine niliyosahau
 
kwa nini hiyo barua usimpelekee wewe mwenyewe kuonesha msisitizo??
 
Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni I.G.P,raisi anaishi airport,tanzania imetokana na muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe,hayo machache na mengine niliyosahau

umesahau pia kusema
kadnal pengo ndio final say wa nch,miziz
uliyoipandikiza imeko
maa kwan Qur-an ina
kojolewa,Memorund
um of understanding
bado makanisa yanan
ufaika,NECTA inapitiw
a sana kw islamic kn
owledge tu,pia mwa
mbie kwamba padre John Sivalon ametung
a kitab kinachoitwa
"KANISA KATOLIKI NA
SIASA Za TANGANYIKA
(1953_1985).....!
Halaf muulize vip maisha ya huko?
 
Back
Top Bottom