BARUA: Diwani aliyeikacha Chadema aomba kurejea!!

BARUA: Diwani aliyeikacha Chadema aomba kurejea!!

7d03f977a5752aa40b9f55ed9d8e6fd9.jpg
Usaliti ujawahi mwacha msaliti salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nategemea sio mda mrefu anakuja kukanusha uongo huu.
 
Nyumbu huwa wanapenda kurukaruk sana
Hya tueleze hao wananunulia sana sasa mtueleze tena Na nyie mnanunua kwa sh ngapi ili kurudi cdm
 
Ha ha ha... kupata kichekesho hiki na vingine andika chagadema kisha mkosa uzalendo kisha nyota ok. Tangu lini diwani akaandika kwenye kikaratas cha ajabu ajabu kama hiki? Hata mtoto wa drs la pili lazima ajue imetengenezwa hii
Kama diwani anaweza kusimama hadharani akasema anaacha udiwani kwa vile anamuunga mkono Magu unashangaa nini kuandika kwenye karatasi kama hiyo?Hakuna mtu ambaye alikuwa nje ya CCM kasha akajiunga wakati huu ambaye kichwani yuko sawa hata kidogo
 
Swala sio kurudi swala ni kauli ile ile tunayoipinga kuhongwa/kurubuniwa.....kurudi anaweza akarudi kama lipumba tuu....swala hapa ni jinsi gani upinzani unaweza kuifuta hii kauli ya kuhongwa na kurubuniwa??
MaCCM ni mabingwa wa kutoa rushwa, wamajidai wamapambana na rushwa!!
Wanahonga mpaka rizuku kwa msaliti Lipumba.
Ni wanafiki saana!!
 
Back
Top Bottom