BARRICK yashindwa kwa mara ya tatu kujaribu kuinunua ACACIA

Shareholders wako smart sana wameustukia uhuni wa Barrick wa kutaka kuwalalia kwa kuwalipa pesa kiduchu. Ndiyo imeshakula kwao kama hawana dau la kuongeza.

Barrick alipaswa kusema kwa dhati kuwa wanainuna acacia 18.06.2019 wakasogeza hadi 09.07.2019 sasa wamesogeza tena hadi 19.07.2019. Tuendelee kuwa na subira mwanga unaonekana
 
Simba chakula chake ni wanyama wenzie,tutarajie nini mkuu hapo Chato?
Nitarudi badae kuchangia mada...bado tunazindua mbuga niko na simba nyati twiga mamba na nyani tuselebuka nao wanampongeza sana jiwe wameamini maendeo hayana chama nao wamekumbukwa Leo....sangara na sato jiandaeni tunakuja kuwazindua 2020 ili watalii waje kwa wingi hahahahaaa raha sana kuzaliwa tz
 
Hawa Acacia hii maneno wanaipenda sana "The Board continues to believe that, subject to the price offered being fair and commanding the necessary support from shareholders, Barrick acquiring the remaining shares in Acacia it does not currently own would be an attractive solution for key stakeholders".
Hii inanipelekea kurudia kusema "It is not over until it is over". Hii haijalishi wewe na mimi tunataka iweje, wenye sauti ni hao minority shareholders. So far hawajaridhika na Barick kaomba PUSU deadline isogezwe mbele.
 
Barrick alipaswa kusema kwa dhati kuwa wanainuna acacia 18.06.2019 wakasogeza hadi 09.07.2019 sasa wamesogeza tena hadi 19.07.2019. Tuendelee kuwa na subira mwanga unaonekana
Mkuu Comte, asante kwa taarifa hii. Baada ya taarifa hii ya Acacia, Barrick walijibu mapigo
.
Update
Acacia na Barrick bado wanavutana,
PUSU deadline ya leo imefutwa, Acacia wametoa taarifa kwenye tovuti yao kuwa Barrick wameomba kuongezewa muda wa deadline nyingine ya PUSU kwa
siku 10 zaidi, hivyo Acacia wamekubali kuongezwa huo muda hivyo sasa hii ngoma itakuwa Tarehe 19/07/2019 5:00pm kwa saa za London.


Barrick nao wametoa taarifa hapa

P.
 
Back
Top Bottom