Baada ya Acacia kununuliwa, Manunuzi kukamilishwa kwa Scheme Document, Kufa Rasmi Sept 3 kwa AGM ya Acacia Kupitisha Resolution of Dissolution

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Wanabodi,
Baada ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia na Acacia kukubali kununuliwa ile July 19, kuna watu walidhani sasa mambo ndio yamemalizika, kuinunua kampuni ni kama kununua nyanya sokoni au shati dukani, hapana, baada ya Acacia, kukubali kununuliwa na Barrick, taratibu za manunuzi zinakamilishwa kwanza kwa kutolewa dodument muhimu sana inaitwa "Scheme Document", yenye kuonyesha uratatibu mzima wa mauziano hayo. kila mwanahisa wa Acacia anatakiwa kuisani na kuiridhia mbele ya mahakama, ndipo Acacia wataitisha mkutano mkuu wa wanahisa wote, AGM hapo Sept 3 na kupitisha azimio la kifo rasmi cha Acacia, Resolution of Dissolution.

Jana ndipo Acacia ametoa matangazo mawili kuhusu hiyo scheme document

Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kupata tip kutoka kwa mwana jf huyu

Tume ya Madini Tanzania imeiruhusu kampuni ya Acacia kuendelea na utaratibu wa kusafirisha dhahabu baada ya kuzuiliwa kwa takribani mwezi mmoja. Taarifa iliyotolewa na Acacia inaeleza sasa wataanza kusafirisha madini kutoka North Mara baada ya kutimiza masharti.

Najiuliza na wenzangu mnisaidie kujiuliza, tuliambiwa Acacia hawana leseni, tukaambiwa tena serikali haitazungumza tena na Acacia bali Barrick, juzi tena tunajulishwa Barrick imenunua hisa zote 100% za Acacia kwamba shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na Acacia sasa zitafanywa na Barrick.

Am little bit confused. Pascal Mayalla please.
Hivyo Acacia licha ya kutotambuliwa na serikali yetu, lakini bado ipo na inaendelea na kazi mpaka ununuzi ukamilike na mmiliki mpya Barrick atakapo take over.
P
 
Mzee wa MIGA Lisu anasemaje?
serika;li imepoteza sana na kwa kuogopa bill ya kesi itakayotoka ndo maana makinikia yameruhusiwa.so mzee wa miga bado yuko sawa na kilichofanyika tokea mwanzo ilikua kituko jpm amedhalilika sana ndio maana kuna watu walitukanwa pumbavu wale waliookotwa jalalani.kwa majuha kama nyie mnadhani serikali imeshinda
 
Kwahiyo Lissu ndo kashinda !?

Makinikia tokea awali yalikuwa yakipelekwa nje kimya kimya ile mikwara ilikuwa ni Danganya Toto tu
 
jiwe wenu atajua kama sarakasi zake zimemsaidia au amepoteza muda na kelele zake akarudi palepale wakati ameishaharibu mahusiano,ajira nk.yaani alikurupuka

Mkapa na kikwete walifaidia pesa madini kwa mbinu ya kurekebisha Sheria tu ingawa hawakuzirekebisha zote,’na yeye kama alitaka pesa alipaswa asimamie kumalizia yale marekebisho vizuri na kwa umakini siyo kukurupuka na matokeo yake yamekuwa kinyume
 
Wanabodi,
Baada ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia na Acacia kukubali kununuliwa ile July 19, kuna watu walidhani sasa mambo ndio yamemalizika, kuinunua kampuni ni kama kununua nyanya sokoni au shati dukani, hapana, baada ya Acacia, kukubali kununuliwa na Barrick, taratibu za manunuzi zinakamilishwa kwanza kwa kutolewa dodument muhimu sana inaitwa "Scheme Document", yenye kuonyesha uratatibu mzima wa mauziano hayo. kila mwanahisa wa Acacia anatakiwa kuisani na kuiridhia mbele ya mahakama, ndipo Acacia wataitisha mkutano mkuu wa wanahisa wote, AGM hapo Sept 3 na kupitisha azimio la kifo rasmi cha Acacia, Resolution of Dissolution.

Jana ndipo Acacia ametoa matangazo mawili kuhusu hiyo scheme document

Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kupata tip kutoka kwa mwana jf huyu

Hivyo Acacia licha ya kutotambuliwa na serikali yetu, lakini bado ipo na inaendelea na kazi mpaka ununuzi ukamilike na mmiliki mpya Barrick atakapo take over.
P

Mikataba ya Hizo kampuni ilitengenezwa kwa mbinu za kijanja ukiivunja kienyeji enyeji lazima itakugharimu ndiyo maana wameamua kuwa wapole na makinikia yanapelekwa Nje kimya kimya kama kawaida
 
Uteuzi safari hii unaonekana kuwa mgumu
Wanabodi,
Baada ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia na Acacia kukubali kununuliwa ile July 19, kuna watu walidhani sasa mambo ndio yamemalizika, kuinunua kampuni ni kama kununua nyanya sokoni au shati dukani, hapana, baada ya Acacia, kukubali kununuliwa na Barrick, taratibu za manunuzi zinakamilishwa kwanza kwa kutolewa dodument muhimu sana inaitwa "Scheme Document", yenye kuonyesha uratatibu mzima wa mauziano hayo. kila mwanahisa wa Acacia anatakiwa kuisani na kuiridhia mbele ya mahakama, ndipo Acacia wataitisha mkutano mkuu wa wanahisa wote, AGM hapo Sept 3 na kupitisha azimio la kifo rasmi cha Acacia, Resolution of Dissolution.

Jana ndipo Acacia ametoa matangazo mawili kuhusu hiyo scheme document

Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kupata tip kutoka kwa mwana jf huyu

Hivyo Acacia licha ya kutotambuliwa na serikali yetu, lakini bado ipo na inaendelea na kazi mpaka ununuzi ukamilike na mmiliki mpya Barrick atakapo take over.
P
 
Ndicho alicho kisema baba wataifa kuwa kaburu ni kaburu tu haijarishi rangi yake, na inawekana kaburu mweusi akawa hatari zaidi kuliko kaburu mzungu. Nashangaa eti wanajiita watanzania kufurahi nchi inapokumbwa na mikwamo. Endeleeni kuwa vibaraka ila kumbukeni damu ya bibi zenu pamoja na mizimu ya koo zenu, havitopita bure. Tunajua mwisho wa siku tutashinda hata kama tumetoka manundu. Ila nyie mnao iombea mabaya Tanzania endeleeni.
 
Mkuu Gwakipanga, jf ni ukumbi wa kuhabarishana na kuelimishana, naomba unielimishe, uhusiano wa hao wanaoiombea mabaya Tanzania na bandiko hili ni nini?. Kuna mtu yoyote humu anaiombea mabaya Tanzania?.
P
 
Back
Top Bottom