S spirrowiver Member Joined Aug 2, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Aug 9, 2014 #1 Wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7. Kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
Wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7. Kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Aug 9, 2014 #2 its too early to say anything.
K karibukwetusingida JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 290 Reaction score 138 Aug 9, 2014 #3 spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... pengine huwa kuna watu wanaitwa na barrick mi toka nianze kuomba sijawahi kupata hta kuitwa tu kwenye usaili
spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... pengine huwa kuna watu wanaitwa na barrick mi toka nianze kuomba sijawahi kupata hta kuitwa tu kwenye usaili
dimpo Member Joined Mar 20, 2014 Posts 15 Reaction score 14 Aug 9, 2014 #4 Wameanza kuita leo interviews j4
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Aug 9, 2014 #5 spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Zikipita siku 30 baada ya deadline kimya,ujue umechinjwa.
spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Zikipita siku 30 baada ya deadline kimya,ujue umechinjwa.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,970 Reaction score 30,135 Aug 9, 2014 #6 spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Walitangaza post gani?
spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Walitangaza post gani?
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,061 Reaction score 4,788 Aug 10, 2014 #7 30 days zikipita andika maumivu hawana longolongo wale
M MsingiShilingi New Member Joined Jul 28, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Aug 10, 2014 #8 Idimulwa said: 30 days zikipita andika maumivu hawana longolongo wale Click to expand... Kweli zikipita 30 day,kama hujaitwa basi tena.
Idimulwa said: 30 days zikipita andika maumivu hawana longolongo wale Click to expand... Kweli zikipita 30 day,kama hujaitwa basi tena.
mbweleko Senior Member Joined Oct 31, 2009 Posts 158 Reaction score 30 Aug 10, 2014 #9 spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Jamaa angu aliomba nafasi ya IT akaitwa akafanyiwa interview last week, alinambia alianza Oral then akapiga na Written-10Min Test same day. Akaambiwa akiona hajaitwa 2 weeks after aendelee kusugua gaga!!
spirrowiver said: wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado Click to expand... Jamaa angu aliomba nafasi ya IT akaitwa akafanyiwa interview last week, alinambia alianza Oral then akapiga na Written-10Min Test same day. Akaambiwa akiona hajaitwa 2 weeks after aendelee kusugua gaga!!