Barrick kuuza 74% ya hisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick kuuza 74% ya hisa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SHOSHOLOZA, Oct 26, 2012.

 1. SHOSHOLOZA

  SHOSHOLOZA Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wa jf, kampuni ya african barrick wanauza hiza zao 74% kwenye kampuni ya kichina. Kwa anayefahamu nini sisi wafanyakazi tunaweza kudai kama malipo na stahili yetu kwakuwa tume wafanyia kazi miaka ming.
   
 2. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa wauze lakini wachina hawakufika dau wakaahirisha!! Labda kama hizi habari umezipata sasa!! Ila hili lilikuwepo miezi kama sita iliyopita
   
Loading...