Habari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
Hahahahaaaaaaa yan nimecheka had usingizi umeisha6. Kuna ulinzi shirikishi wa Mbwa.
palaverHabari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
Habari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
Mkoa wa Irina una uzoefu wa hizo kazi za viwanda vya madini ni mahali sahihi. Kiwanda cha kukata almasi za mgodi wa almasi za mwadui cha Diamond cutting kilikuwa iringa.pia dhahabu za kongo zaweza safishiwa hapoHabari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
Bora wangejengea Tunduma kwakuwa kunabaridi zaidi,na nikaribu zaidi na Congo.(kama ni hbr za kweli)Mkoa wa Irina una uzoefu wa hizo kazi za viwanda vya madini ni mahali sahihi. Kiwanda cha kukata almasi za mgodi wa almasi za mwadui cha Diamond cutting kilikuwa iringa.pia dhahabu za kongo zaweza safishiwa hapo
Mchanga Ulipokuwa unasafirishwa kwenda ulaya vipi ulikuwa unarudishwa?Kazi kweli kweli. Mchanga autoe kahama hadi Iringa, hlf ataurudisha ukishachenjuliwa kuziba yale mashimo?
NDIO MAANA NAIITA HOAX !Hii habari ni ya uongo tena Wa siku takatifu ya j.Pili.
Swala la kizushi , ni lini upembuzi yakinifu "feasibility study" ilifanyika na kuonesha kuwa Iringa region is the viable place to build such a smelter?
Mkuu makanikia ya iringa yapo hatarini sio,Mabinti wa iringa sasa ndiyo wataliwa kila kitu
Yaani watakula mpaka mapanulio/feloMkuu makanikia ya iringa yapo hatarini sio,