BARRICK kujenga kiwanda cha kuchengua mchanga mkoani Iringa

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,754
1,642
Habari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
 
HIZI TUNAITA HOAX!
 
palaver
 
Baridi ina uhusiano gani na Kiwanda?
 
Mkoa wa Irina una uzoefu wa hizo kazi za viwanda vya madini ni mahali sahihi. Kiwanda cha kukata almasi za mgodi wa almasi za mwadui cha Diamond cutting kilikuwa iringa.pia dhahabu za kongo zaweza safishiwa hapo
 
Bora wangejengea Tunduma kwakuwa kunabaridi zaidi,na nikaribu zaidi na Congo.(kama ni hbr za kweli)
 
Hii habari ni ya uongo tena Wa siku takatifu ya j.Pili.
Swala la kizushi , ni lini upembuzi yakinifu "feasibility study" ilifanyika na kuonesha kuwa Iringa region is the viable place to build such a smelter?
 
NDIO MAANA NAIITA HOAX !
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom