There we go again,change we can believe in!Sasa Kinana anapozungunguka huko na huko mikoani inabidi waulizwe.Kelele zilizokuwa zikipigwa kumbe kweli ni za mlango na aliyeko magogoni hakosi usingizi.The renewals of the licences were on the same terms and conditions as the previous licences and were both for a period of 15 years.
African Barrick Gold reported on Monday that it had received the renewals of its special mining licences (SMLs) at its North Mara project, in Tanzania. The renewals of the licences were on the same terms and conditions as the previous licences and were both for a period of 15 years.
The original North Mara SMLs were issued in February 2000 and had expired in September 2011, since which time the mine had continued to operate on the same basis owing to the rollover provisions contained in the Tanzanian Mining Act.
Since the issue of the original SML 12 years ago, the mine had produced over 2-million ounces of gold and had a further 3.5-million ounces of gold remaining in reserves.
The companys SML 17/96 has been enlarged twice and now covers an area of 31.3 km2, including both the Gokona and Nyabigena pits. Its other licence, SML 18/96, had been enlarged six times and now covers an area of 10.5 km2, including the Nyabirama pit.
We have worked closely with the government over the past 18 months in order to achieve the first renewal of a special mining licence in Tanzania under the Mining Act 2010, and this highlights their focus on ensuring there is a positive investment climate for Tanzania," commented African Barrick CEO Greg Hawkins.
Tanzania renews African Barrick special mining licences
Ina maana zoezi hili limefanyika kimya kimya bila ya waandishi wa habari kukaribishwa? Mbona hatujaliona kwenye tanzania media houses!
Mkuu ni kweli usemacho,na ninakuhakikishia,kama si kwasababu ya shareholders(wanabandika habari hizi ili kulinda mahusiano na shareholders) na ndiyo maana hizi habari zinapatikana,otherwise tusingekaa tujuwe.Umesahau habari nyeti kuhusu Tanzania huwa hazitolewi na local media?
Unakumbuka ile habari ya mkataba wa kutengeza vitambulisho zilipatikana wapi kwa mara ya kwanza?
Na ni ''dhambi'' mwananchi kujua nini kinatendwa na wenye nchi. Si unaona jinsi fedha za Uswiss zinavyowekewa uzio! Uki trace to the bottom unaweza kuta ni sehemu ya ongezo la mkataba. Something must be done for sure! Hawa wanawafanya wananchi mahayani! Something must be done.Umesahau habari nyeti kuhusu Tanzania huwa hazitolewi na local media?
Unakumbuka ile habari ya mkataba wa kutengeza vitambulisho zilipatikana wapi kwa mara ya kwanza?
Mkuu ni kweli usemacho,na ninakuhakikishia,kama si kwasababu ya shareholders(wanabandika habari hizi ili kulinda mahusiano na shareholders) na ndiyo maana hizi habari zinapatikana,otherwise tusingekaa tujuwe.
Moja ni kwasababu ya shareholders,na pili ni kwasababu watanzania sasa wana access ya habari za mitandaoni.Ambazo kiukweli sisi si walengwa,lakini imetokea kuwa tunapata access kwasababu information iko aimed to share holders.
Otherwise tusingejuwa chochote kwasababu access to information kwa Tanzania ni almost zero,na hii ni kwa mujibu wa globalintergrity.org!
Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!Si hawa ndio walitingisha kibiriti miezi michache iliyopita kwamba wanauza migodi yao kwa sababu ya gharama za umeme zimekuwa kubwa mno!!! na hivyo kupunguza faida yao? Sasa gharama za umeme zimepungua lini!? Mafisadi wakubwa hawa!!!
Barrick Gold in talks with China National Gold Group over African stake | Mining | News | Financial Post
Buzwagi, the company's biggest mine, in terms of capacity, has struggled with production shortfalls associated with blackouts in recent years.
African Barrick experimented with using standby diesel fuel at the mine during the day and grid power at night, but power outages still stymied production, Mr. Kalachev said. Eventually, it switched exclusively to more-costly diesel.
"Up until now they haven't been able to bring it to the design capacity … this means that costs are increasing and pushing the group's cash costs higher," he said, adding that African Barrick's costs are forecasted to remain above its London Stock Exchange gold peers.
There we go again,change we can believe in!Sasa Kinana anapozungunguka huko na huko mikoani inabidi waulizwe.Kelele zilizokuwa zikipigwa kumbe kweli ni za mlango na aliyeko magogoni hakosi usingizi.
Sasa ni kweli nakubaliana na ndugu Zitto kuwa mikataba iwe wazi,lakini is this the real solution?Kama matokeo ya mikataba ni wazi haitunufaishi,na bado mikataba hiyo ni ile ile kwa maana kwamba inarudiwa over and over again,si ina maana viongozi wetu wameridhishwa nayo?Sasa ikiwekwa wazi tutazuia vipi?Na wakati maandamano yenyewe yanadhibitiwa kwa nguvu za kupita kiasi na hata mauwaji yanatokea?
Ujumbe wangu kwa ndugu Zitto,since wananchi wana waamini viongozi wa upinzani wanaposema kuhusu mikataba mibovu,halafu wanawaelewesha wananchi ie kwenye m4c,ni kivipi hili tatizo litakwisha?
Wananchi wanaelewa mikataba ni mibovu kabla hata ya kuisoma,maana matokeo yake ni mabovu tu, ama hata hayaonekani,sasa whats the solution?
Mimi naamini solution ni movement ya nguvu ya kubadilisha watawala.Kwasababu inaonyesha wanaonufaika ni wao na si wananchi ama Taifa.Ubinafsi ni shida kubwa sana ya watanzania!
Je ccm wakiulizwa kuwa mikataba hii inatunufaisha watasema ni kivipi?Madhali imekuwa renewed,nadhani hili ni swali wanalotakiwa kulijibu ili wananchi wajuwe wazi kuwa mikataba iliyoko ccm wanairidhia.Na kama ina manufaa,tuelezwe manufaa hayo,yawekwe wazi ili tuyajuwe!
Kusema Tanzania kuna umeme wa kutosha, ni sawa na kusema nyumbani kwako kuna umeme wa kutosha ilhali unatumia jenereta.Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!
Sasa Barricks na wengineo wanadai kuwa kuna gharama kubwa kwenye umeme,lakini ukiangalia,wana maanisha kwamba ni gharama za diesel zinazotokana na electricity blackouts!Sasa hapo utaona jinsi ubinafsi wetu unavyotutafuna,yani ni sawa na self destruction!Halafu kama ni kweli mgao ni wa makusudi,na miktaba yenyewe ni mibovu,ndipo utatujuwa watanzania,tuko hovyo sana!Yani kama umeme ungepatikana kwa urahisi,ina maana kwamba wawekezaji wasingepata shida.At the same time,tunaingia mikataba ya kifisadi ili wawekezaji waweze kupata faida kwasababu umeme ni ghali(ughali ulioisababishwa kwa makusudi kama alivyosema Muhongo)
Sasa niambie utakuwa vipi na hamu ya kuishi Tanzania kwa manufaa ya Tanzania?Yani it's disgusting!Mimi binfasi Tanzania inanishinda,na kama nataka kuishi,basi itabidi waniuwe,so wengine inabidi tupime kwanza,maana watanzania wenyewe ndivyo tulivyo,hata kuna wanaojitolea kuyalinda maslahi yao lakini bado hawayathamini na hawajui.
Sisi ni hovyo sana!
Hivi majuzi Muhongo alisema umeme wa mgawo ni wa kupanga,akiwa na maana tuna umeme toshelezi!Na kwamba mgawo ni mahususi kwa watu flani wenye kunufaika kwa kuwauzia TANESCO mafuta...Sasa kama Barrick nao wanasema ni gharama kubwa kuendesha shughuli kwasababu umeme ni wa mgawo(blackouts),na hivyo inabidi watumie diesel(costs more),jambo ambalo linasababisha waseme ni ghali sana kuendesha shghuli zao,unadhani nani anaathirika zaidi ya Taifa kama kweli Muhongo yuko right?Kusema Tanzania kuna umeme wa kutosha, ni sawa na kusema nyumbani kwako kuna umeme wa kutosha ilhali unatumia jenereta.
umeme wa kutumia mafuta ni umeme wa ghali mno na haumaanishwi kutumiwa kwa large scale for a long time.
hawa mawaziri wanatudanganya.
Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!
Sasa Barricks na wengineo wanadai kuwa kuna gharama kubwa kwenye umeme,lakini ukiangalia,wana maanisha kwamba ni gharama za diesel zinazotokana na electricity blackouts!Sasa hapo utaona jinsi ubinafsi wetu unavyotutafuna,yani ni sawa na self destruction!Halafu kama ni kweli mgao ni wa makusudi,na miktaba yenyewe ni mibovu,ndipo utatujuwa watanzania,tuko hovyo sana!Yani kama umeme ungepatikana kwa urahisi,ina maana kwamba wawekezaji wasingepata shida.At the same time,tunaingia mikataba ya kifisadi ili wawekezaji waweze kupata faida kwasababu umeme ni ghali(ughali ulioisababishwa kwa makusudi kama alivyosema Muhongo)
Sasa niambie utakuwa vipi na hamu ya kuishi Tanzania kwa manufaa ya Tanzania?Yani it's disgusting!Mimi binfasi Tanzania inanishinda,na kama nataka kuishi,basi itabidi waniuwe,so wengine inabidi tupime kwanza,maana watanzania wenyewe ndivyo tulivyo,hata kuna wanaojitolea kuyalinda maslahi yao lakini bado hawayathamini na hawajui.
Sisi ni hovyo sana!
Kuhusu utata wa Muhongo kwenye makampuni hayo kulipa 30%,hapo kwasasa sina comment.Mkuu jmushi1 huyo Muhongo nilimuona anaweza kuwa mkombozi wa Watanzania kuhusiana na mikataba ya madini ambayo haina maslahi pale alipotangaza kwamba makampuni yote ya uchimbaji wa madini nchini yaanze mara moja kulipa kodi ya 30% au wafungashe virago lakini naona kauli yake ilikuwa ni usanii tu. Haijulikani ni lini makampuni hayo yataanza kulipa kodi hiyo au kodi hiyo ndio imeshakufa kinyemela. Kwa maoni yangu mpaka sasa sioni tofauti yoyote kati ya Ngeleja na Muhongo.
Tanzania tells mining companies to pay 30 pct corporate tax | Reuters
Kuhusu utata wa Muhongo kwenye makampuni hayo kulipa 30%,hapo kwasasa sina comment.
Lakini kama alimaanisha kuwa watalipa hiyo 30% kwasababu wana uwezo wa kupunguza gharama endapo blackouts hazitakuwepo,then nitauliza ukweli wa kauli yake kuhusu "kutengenezwa" kwa migao,kwasababu hapo ndipo patakuwa na mzizi wa fitna.
Kumbuka tatizo lipo kwasababu ya umeme,ikiwa na maana inawagharimu zaidi kama wakitumia diesel.Mkuu mwekezaji yeyote anayekwenda popote pale duniani.Mambo ya msingi yanayoangaliwa,ya muhimu sana other than political stability,ni umeme!Hilo liko juu kabisa.Kwahiyo kama ni kweli tunajitengenezea matatizo ya umeme,basi ni sawa tukisema kwamba tunajichimbia kaburi letu sisi wenyewe.
Yale yale!Sasa ni kweli nakubaliana na ndugu Zitto kuwa mikataba iwe wazi,lakini is this the real solution?......
Sasa ikiwekwa wazi tutazuia vipi?