Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Wapi wabelgiji na mawakala wa mabeberu waliotuaminisha kwamba tutashtakiwa mahakama za kimataifa na hatutafanikiwa?
 
Billion au trillion?

Unamdai mtu laki anakupa sh kumi unaita waandishi wa Habari?
Bora sisi tunaolipwa shilingi 10 kwenye mabilioni tunayodai kuliko nyie mliotangaza mchana kweupe kama mkishinda eti mtayaweka madini yetu bondi

Hii haina tofauti na kumkopa mchizi laki moja kisha umuweke mkeo bondi hadi ukilipa

Zero brain nyie
 
Sasa ndio imesha sainiwa kalie sana leo
Ikulu mmgeuza sehemu ya kutengenezea movies za kumtafutia Bw Yule kiki. Lazima mwaka huu muapishe wengine wenye kufahamu thamani halisi ya Ikulu yetu.
 
Ujinga mtupu!Tunasikia mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!

Kwa kifupi,tunaomba mkataba uwekwe wazi.
Mkuu kuliko kubwabwaja ungeleta huo mkataba wa Siri tuone. Lasivyo utakuwa mfia maji tu
 
Hakika Serikali ya Awamu ya Tano imefanya kazi kubwa Mno kwenye sekta ya Madini.
Serikali hii inastahidi pongezi kubwa mno hasa kampuni ya TWIGA na Shirika la STAMICO.
Magufuli MitanoTena
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
 
Back
Top Bottom