Wewe pia hujakwepa kituMimi nimeshatest japo nimezaa lakini nimebaini hanifai kabisa,Nina appointment na mashine mpya nayo sitajiingiza kichwakichwa.
Fafanua Mkuu, Hajakwepa kitu kivipi wakati hawajaingia katika Ndoa official.Wewe pia hujakwepa kitu
Mkuu uwe unajitahidi kutumia vizuri maneno ya lugha yetu ya kiswahili ili kuondoa mkanganyiko.Mimi nimeshatest japo nimezaa lakini nimebaini hanifai kabisa