Baridi ya Njombe

Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9ยฐC asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
 
Joto silipendi lakini baridi hapana wacha tu niendelee kukaa huku kwenye joto nyuzi 40.. 50 100
 
Haujapazoea tu.Kuna watoto kuanzia miaka mitano wapo saa hizi barabarani wanacheza tu na baiskeli zao za mbao zinaitwa "vibagadu"!Wako full shangwe!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wale watoto cha sana ni wana mafua yasioisha tena yalr mazito..wenyeji wanasema yamekomaa...dah..miguu peku...wamepauka mashavu kwaajili ya baridi..dah..sitak kbs huko mimi
 
Niliwahi kuwa Lupembe kuna sehemu moja iko chini kuna kiwanda cha Chai, aisee ngoma ilifika 4 au 5 degrees Centigrade. Chakushangaza kuna mtoto asubuhi nilikutana nae yuko kifua wazi. Mimi nilipewa chai midomo ikababuka, yaani ile baridi ni balaa.
Hata mm huko kwa hicho kiwanda nilifika kesho nikageuza
 

Mueleweshe shemeji yetu, mwambie wastani wa mwanaume kukaa bila kuoga ni wiki 2... na hiyo ni kwa Dar!

Kwa huko mkoani wastani ni mwezi mmoja
!

Kwahiyo hizo siku 3 unapaswa uongezee na zingine angalau 27 ndo kitaalam inakaa sawa!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo me nashangaa yaani siku tatu tu analalamika ikiwa hata jasho sitokwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ