Hapana mkuu ametusaidia sana yule mzee kuna kitu kakijenga watanzania angalia mama anavyopata upinzani kila akivaa barakoa hakuna mtu anamfuata kuvaa yan anatafta gia lakini wapi watu bado wanamuamini mwendazake na mbinu yake hiiJamaa alikuwa anatulisha chai kwa matembele.Mungu alimuona
Kuna Basi ilisemekana Lina mgonjwa wakalipiga ban mizan pale watu tukakaa mbali mita hamsin no body in nobody out likapelekwa lockdown magegere kila mtu kwa gharama zake kuja kupima tena hakuna mgonjwa just imagine hasara yake.... sometimes mk is very fucking๐คMwaka jana Makambako pale karibu na sokoni kuna nyumba ilizungushiwa utepe wakadai kuna mgonjwa wa corona so wameiweka nyumba lockdown ilikua inalindwa na askari police
Ndomana ukimwi upo sana huko ni haki yao watu wa huko wanapiga kazi sana na wakimkamata mwanamke yan mpaka michubuko wanaume wa dar wamshukuru mungu sanaBalaa
๐ ๐ ๐Kuna Basi ilisemekana Lina mgonjwa wakalipiga ban mizan pale watu tukakaa mbali mita hamsin no body in nobody out likapelekwa lockdown magegere kila mtu kwa gharama zake kuja kupima tena hakuna mgonjwa just imagine hasara yake.... sometimes mk is very fucking๐ค
Tulilishwa ujinga tangu kale.Mwingine alitutungia kitabu aka ki-entitle "How Europe underdeveloped Africa"!Ni uzembe mtupu kukubali visingizio.Walikuwa wapi hadi wanakuwa "underdeveloped"?Hapana mkuu ametusaidia sana yule mzee kuna kitu kakijenga watanzania angalia mama anavyopata upinzani kila akivaa barakoa hakuna mtu anamfuata kuvaa yan anatafta gia lakini wapi watu bado wanamuamini mwendazake na mbinu yake hii
Maji yanaubaridi kama yametoka kwenye friji mkuuWakati nakuja nilisimama Iringa kununua maji pale karibu na Ipogolo, nashangaa muuza duka anatoa maji kwenye katoni ananipa nikamwambia nataka ya baridi akashangaa nataka baridi gani tena kumbe ac ya gari ilikua inanidanganya. Kufika huku njombe yale maji niliyonunua nayaangalia tu hata kuyanywa sitamani kwa ule ubaridi.
Ni kweli yule mzee aliicheza karata dume kwenye corona, watanzania hawana hofu na covid tofauti na wananchi wa nchi zingine wengi wanakufa kwa hofuHapana mkuu ametusaidia sana yule mzee kuna kitu kakijenga watanzania angalia mama anavyopata upinzani kila akivaa barakoa hakuna mtu anamfuata kuvaa yan anatafta gia lakini wapi watu bado wanamuamini mwendazake na mbinu yake hii
Maeneo haya ni muhimu kuweka madirisha ya aluminium na ceiling board.
Kama ni mzururaj usiku huwa inadrop Hadi tano,....huko makete na lupembe ni balaa had mimea huwa Ina kauka
Leo usiku mida ya saa 7 , ilikuwa 5 degree, na mie nipo njombe nimeingia usiku ila silali hapa asee ,nitaenda oga iringa au mteraDuh aisee hii ni hatari, kama itafika 6 basi naomba hali hiyo isinikutie huku.
Ni noma hukoNiliwahi kuwa Lupembe kuna sehemu moja iko chini kuna kiwanda cha Chai, aisee ngoma ilifika 4 au 5 degrees Centigrade. Chakushangaza kuna mtoto asubuhi nilikutana nae yuko kifua wazi. Mimi nilipewa chai midomo ikababuka, yaani ile baridi ni balaa.
Lakn unaweza kutana na watu wanasema leo angalau kuna joto๐๐๐Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9ยฐC asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202
Hiyo nimekutana nayo mkuu, kuna jamaa nilikutana nae Makambako nikawa nalalamika akasema hapa mbona joto baridi ipo huko makete kwao, jamaa mwingine akadakia akasema Makete mbona joto kule baridi ipo Isimani sijui wapi akasema.Lakn unaweza kutana na watu wanasema leo angalau kuna joto๐๐๐
Hiyo nafuu,mwaka 1997 nilikuwa njoss ilikuwa 4ยฐmin ,na mx ni11ยฐ.Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9ยฐC asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202