toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
- Thread starter
-
- #41
Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimudu
kweli tena huyu nahisi alikuwa hana hela ya kunua chapati kwa fatuma akaishia kununua chama nlimchekaaaa sana kwa aibu akampa mwanangu chamaHili ni tusi kubwa kwa wanaume wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha na mwanao akasema asante anko. Yule jamaa ndo mm nlkua nakuviziakweli tena huyu nahisi alikuwa hana hela ya kunua chapati kwa fatuma akaishia kununua chama nlimchekaaaa sana kwa aibu akampa mwanangu chama
aaa hilo swali la mwisho sijaliona lakini mimi nakupikia dona na dagaa ili mengine niwe na uhakika nayoHahahahahaha Ugali hawapendi sasa kwenda three rounds ni ishu kabisa yani ahahahahahaha, eti hawez kunimudu ? how far do u go ? teh...
safi, wanaume wa dar hawataki tabu kabisa.
aaaa mwanangu hajui kusema akapokea tu,halafu jamaa mwenyewe mtaa mzima wanamuaminia kwa kubeti wanasema mkono wa dhahabu ....yaani wanawahi kumbook wawabetie ,watu wa Dar banaHahaha na mwanao akasema asante anko. Yule jamaa ndo mm nlkua nakuvizia
Uwepo wA jiwe umeleta bard dar tunawah kulala sasa hvi
ssa niongope ili iweje?kwangu hakuna tv kuna mafriji na mafriza ya kuuzia asikirimuHahaha et unauza ice cream .. Ila we mwongo wewe
eee hatulimi mashamba tunalima vitanda
Kama kwangu mm hata as kirimu sinassa niongope ili iweje?kwangu hakuna tv kuna mafriji na mafriza ya kuuzia asikirimu
Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimudu
aaa hilo swali la mwisho sijaliona lakini mimi nakupikia dona na dagaa ili mengine niwe na uhakika nayo
Kimetokea nini leo, mbona una fujo hivi??ssa niongope ili iweje?kwangu hakuna tv kuna mafriji na mafriza ya kuuzia asikirimu
nimenyanyasa wapi jamani?Dah.. una manyanyaso ya chinichini sana[emoji28]
Kimetokea nini leo, mbona una fujo hivi??
baridi paka wangu,wanaume wa Dar wanaogopa ngiri napowapenda wanaume wa Mwanza mnielewe tuKimetokea nini leo, mbona una fujo hivi??
eee ndo maana mie hata baba zangu nawalisha dona kila siku sababu nawapenda sana mama zanguahahaha eti swali la mwisho hujaliona haya bwana ila ugali chakula safi sana when it comes kumpa mtu nguvu