hahahahaha vya kuiba vitamu asipaone koku hapa lol
tena asipaone, mbona Leo sipati usingizi akipaona, lol
Kiwatengu I miss yuh..ebu kuja huku moshono nkupe kumbatoo
Mkuu nmekumiss sana. Mia
Mkuu nmekumiss sana. Mia
mume wake nani? Usijali mkuu kwani hata chui mkali lakini anazaa. MiaHivi unamjua muwe wake?Ni mkali balaaaa???
mume wake nani? Usijali mkuu kwani hata chui mkali lakini anazaa. Mia
Wewe mwenyewe si umeona comment yake hapo mkuuMke wa mtu, unataka kumpa muhogo?