Baridi kali kama hii

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Wadau wajamvi hili..
Naona huku maeneo ya Kazkazini (Kilimanjaro, Arusha na Manyara)
Baridi ndiyo imeanza kushika kasi. Tokea jumapili hali ni yabaridi sana...

Swali, je! Mapenzi yanaweza kupunguza baridi?

Baridi inaongeza hamu ya kusex?

Its Cold pande aisee.

I miss you my dear wife. shansarie!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh sina jibu la uhakika ila ninchojua ndo kipindi ambacho wanawake wengi hujaa neema (hupata mimba)
 
Kweli kipindi cha kupanda mbegu ndo hiki. Sex inachkua nafasi yake kikamilifu. cc Daudi1
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu karibu huku sana kwa sasa ni mvua mvua na baridi aise supu inanyweka mbaya kwa sasa bucho heshima yako bana
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Baridi la hivyo mnaweza kugegedana huku mmevaa makoti.
 
Heshima kwako pia bro. Natumaini hii inakuja na baraka


Mkuu bucho baraka tunawaachia nyie vijana bana sisi tunakaa pembeni kuangalia namna mnavyoijaza dunia
 
Last edited by a moderator:
hapa marangu ukikajaga sakafu unatamani kuruka kwa baridi loh... mie mume wangu simwachiii kabisa
 
baridi kama hilo linaongeza unywaji wa supu ya pweza.
 
Uko wapi wewe? Baridi ya hapa machame inatisha muda huu, hadi mbavu zinabana
Na hapo barafu haidondoki sasa je ungekaa kwa wenye baridi mpaka barafu inadondoka ungekuaje. Mkuu vumilia waza mambo mengine utaiona baridi ya kawaida na wala hutasumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…