Ninachojua ni kuhusu merging ya Barclays Africa ( Dubai Office) na Absa Africa (Johannesburg Office), Kwa hivyo baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni mbili ni dhahiri wamepoteza nafasi zao. Kuhusu Barclays Tanzania bado sijajua....labda mkuu utuhabarishe.
Jamani kuachiswa kazi sio ndio mwisho wa maisha,mbona kuna shughuli nyingi tu za kufanya na zikakuingizia kipato au ndo bado tunaendekeza ule ugonjwa wa kupenda kuwa mtumwa(kuajiriwa),njoni uswazi tukaange samaki au bado mikopo ya vi Vista haijaisha loh poleni
Barclays wanafanya vibaya sana kwasasa,watu wamechot sana pale mkuu hasa kwenye mikopo,walishindwa kuwa na udhibiti kwenye hili eneo,hasa mikopo ya staff imewaua sana...maana mwanzoni walikuwa wanavutia wafanyakazi kupiti mikopo mikubwa sana....Kimsingi inakaribia kufa kwa upande wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.