Barclays (T) staff retrenched?

Buggy

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
238
0
Hivi ni kweli wafanyakazi wa Barclays benki wamefukuzwa? Mwenye habari atujuze!!!
 

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
603
0
Ninachojua ni kuhusu merging ya Barclays Africa ( Dubai Office) na Absa Africa (Johannesburg Office), Kwa hivyo baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni mbili ni dhahiri wamepoteza nafasi zao. Kuhusu Barclays Tanzania bado sijajua....labda mkuu utuhabarishe.

Hivi ni kweli wafanyakazi wa Barclays benki wamefukuzwa? Mwenye habari atujuze!!!
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,530
2,000
sitashangaa maana ilikua inajiendesha kwa hasara kubwa!!wizi usio na kifani uliofanywa na wafanyakazi vijana dot.com
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,737
2,000
Jamani kuachiswa kazi sio ndio mwisho wa maisha,mbona kuna shughuli nyingi tu za kufanya na zikakuingizia kipato au ndo bado tunaendekeza ule ugonjwa wa kupenda kuwa mtumwa(kuajiriwa),njoni uswazi tukaange samaki au bado mikopo ya vi Vista haijaisha loh poleni
 

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,344
2,000
Barclays wanafanya vibaya sana kwasasa,watu wamechot sana pale mkuu hasa kwenye mikopo,walishindwa kuwa na udhibiti kwenye hili eneo,hasa mikopo ya staff imewaua sana...maana mwanzoni walikuwa wanavutia wafanyakazi kupiti mikopo mikubwa sana....Kimsingi inakaribia kufa kwa upande wa Tanzania...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom