Barclays imeinunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)?

Barclays imeinunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,714
Reaction score
59,241
Hatimaye Benk ya Barclay yainunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Tanzania), Pasipo shaka yoyote naweza sema NBC tanzania ipo chini ya Barclays kutokana na mienendo ya bank hizo mbili.
NBC-bank-logo.jpg

Kitu cha kwanza, ni kukutana na majina ya Barclays katika Ofisi za Bank ya NBC wakati ni Mshindani wake, Hii inatia shaka.

Kitu cha pili ni kushare wafanyakazi. Yaani si ajabu mfanyakazi wa Barclays kumkuta NBC au Mfanyakazi wa NBC Tanzania Kumkuta kule Barclays.

Kitu cha tatu kinachofanya niseme Barclays imeinunua NBC Tanzania, ni Kitendo cha Managing Director wa Barclays Misri bwana Edward Marks, kuletwa NBC Tanzania na kuwa Managing Director wa NBC Tanzania.

Banki ya Taifa ya biashara (NBC) inao uzoefu usiopungua miaka 47 katika kutoa huduma za kibenk huku ikiwa na Mtandao wa Matawi yasiopungua 52 na Visa ATM zaidi ya 250 nchi nzima.
Barclays1.jpg

Kilichonifanya nianzishe hii Thread ni kutaka kujua;

1. Kwanini NBC isibadilishe mabango yao yawe Barclay wakati kiutendaji wapo kibarclays?

2. Kwani wajifanye NBC na Barclays ni washindani wakati ni kiini Macho?

3. Tanzania ina hisa NBC, Je wakibadilisha Jina na kuwa Barclay kuna Tatizo litakalotokea?

4. Je hii ni njia ya Kutuibia Tanzania au hakuna Tatizo?
 
Mbona hiyo kitambo sana, kwani ulikuwa hujui..??
 
Usalama wa malipo ya jasho letu upo?
===========================
Nadhani katika sheria za kibiashara...!Kuua ushindani hairuhusiwi.
 
Mbona kitambo!!!!

Wafanyakazi wa NBC wana sign contract ya Barcrays mbona muda
 
Nmb nayo ndio tulisha ikabidhi jumla kwa makaburu.
 
Barclays to keep two Tanzanian banks

JOHANNESBURG-headquartered Barclays Africa Group has said it will continue controlling two competing independent banks in Tanzania for the foreseeable future, raising questions about the efficiency and cost of running two banks in one country.

The arrangement in Tanzania also raises questions about Barclays' "One Bank in Africa strategy".

Barclays Africa Group, which is headed by Maria Ramos, owns a majority stake in National Bank of Commerce in Tanzania, and Barclays Bank Tanzania.

The Tanzanian government and the International Finance Corporation are also shareholders in National Bank of Commerce.

Before Absa Group acquired the Africa operations from Barclays in an R18bn deal in 2012, it owned 55% of National Bank of Commerce in Tanzania. The merger led to Absa Group taking on Barclays Bank Tanzania, leaving it invested in two competing banks in Tanzania.

According to the Barclays Africa Group's 2013 annual report, National Bank of Commerce has 463,000 customers, 272 automated teller machines (ATMs) and 52 branches in Tanzania. Barclays Bank Tanzania has 87,000 customers, 42 ATMs and 24 branches.

The last set of data on Tanzania published by Barclays Africa Group showed Barclays Bank Tanzania had a cost-income ratio of 110.1% in the first half of 2012 and reported a loss. The return on equity was -19.5%.

The 2012 financial statements of National Bank of Commerce show the bank had net income after tax of 2.2-million Tanzanian shillings. One South African rand is equal to about 158 Tanzanian shillings.

The return on ordinary shareholders' funds was 1.65%.

"The only reason why you would keep them separate is if they segment the customers they serve," Sanlam Investment Management Global fund manager Kokkie Kooyman said on Friday. "But it does not make sense to run separate banks for a long period. You are inefficient in terms of capital, staff, liquidity and you must be inefficient in terms of your branches. You might want to scale some of your branches."

The National Bank of Commerce offers retail, corporate and treasury services. Barclays Bank Tanzania offers retail and corporate banking services including cash management and trade finance services.

Asked about the Tanzania arrangement, a Barclays Africa spokesman said: "Barclays Bank Tanzania Limited (BBT) and National Bank of Commerce (NBC) operate separately and compete in accordance with local legal and regulatory requirements.

"This arrangement, operating BBT and NBC as independent entities with separate boards and management teams, will continue for the foreseeable future."

09 June 2014
 
nyerere alilia NBC ilipouzwa! ni ujinga kama huu dah angalia kenya KCB inachanua tu. ccm oyeeee
 
Uuuzwaji wa NBC ulimtoa Mwl. machozi. By the way, ni kwanini NMB kabenki kanokadaiwa ka mafukara ambako ni katawi kalikomegeka kutoka giant NBC inafanya vizuri wakati li-giant linakufa kifo cha mende? Tatizo ni menejimenti? Au ni kitu gani?
 
NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Afrika.

Kiasi cha miaka miwili iliyopita, Barclays wameinunua ABSA. Toka wakati huo, NBC ni mali ya Barclays Bank
 
Hili swala toka mwaka juzi ndugu ndo unalijua leo kilichotokea ni kwamba Barclays waliinunua ABSA ya SA ambayo iko na hisa lukuki NBC so automatically Barclays ajachukua hizo hisa akapata umiliki wa NBC anyway wamechukua chao kwani kabla ya hapo si ilikuwa Barclays ndo Nyerere akaitaifisha na kuwa NBC
 
Absa Group, iliungana na Barclays 31 Julai 2013, na kwa vile Absa anaimiliki NBC kwa kiasi kikubwa, inamaana moja kwa moja NBC ilishanunuliwa tangu kitambo chini ya Absa ambae kwa sasa ni Barclays Africa Group Ltd. Absa Group Ltd ilibadili jina na kua Barclays Africa Group Ltd mnamo 02 August 2013.
 
Uuuzwaji wa NBC ulimtoa Mwl. machozi. By the way, ni kwanini NMB kabenki kanokadaiwa ka mafukara ambako ni katawi kalikomegeka kutoka giant NBC inafanya vizuri wakati li-giant linakufa kifo cha mende? Tatizo ni menejimenti? Au ni kitu gani?

Mkubwa mbona hata hiyo NMB waholanzi wamejaa kuanzia juu, sidhani kama tutaendelea kua na benki ya Taifa tena.
 
au share za govt iliziuza kwa Barclay!

ABSA ambao ndo waliinunua NBC wanaidai serikali hela nyingi sana ambazo ni zaidi ya thamani ya share za serikali, nakumbuka kulikuwa na discussions za either serikali ilipe deni au share zote zichukuliwe kufidia deni, sina uhakika kama mwafaka ulishafikiwa.
 
figganigga
Mkuu mada yako imekaa kimipasho Zaidi na nina uhakika wala hujui shareholdrs.
Sasa tujuze kati ya hao shareholders apo chini nani kauza shares zake.

Ownership

The current shareholding in NBC (Tanzania) is as depicted in the table below:



[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TH="class: headerSort wikitable sortable jquery-tablesorter"]Rank
[/TH]
[TH="class: headerSort wikitable sortable jquery-tablesorter"]Name of Owner[/TH]
[TH="class: headerSort wikitable sortable jquery-tablesorter"]Percentage Ownership[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Barclays Africa Group[/TD]
[TD]55.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Government of Tanzania[/TD]
[TD]30.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]International Finance Corporation[/TD]
[TD]15.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]TOTAL[/TD]
[TD]100.0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Usalama wa malipo ya jasho letu upo?
===========================
Nadhani katika sheria za kibiashara...!Kuua ushindani hairuhusiwi.
Machiavellian principle hiyo if you can not fight your competitor buy him off!
 
Barclays kanunua absa ambao wanamilki nbc Tanzania muda Kama wadau walivyosema, Tanzania ni minority shareholder kwa hiyo Hata wakibadili jina au kuacha ni maamuzi ya barclays , ni biashara tu kutuibia hisa zetu ni suala lingine tena msajili wa hazina ni former ceo wa nbc Tanzania
 
Back
Top Bottom