Barchelor of scince with geology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barchelor of scince with geology

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndupa, Jul 22, 2012.

 1. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwa wenye uelewa wa hiyo koz hapo juu..hapa bongo iko vp?? future yake je??
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,778
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usisomee gas and oil ?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dogo, kulipa kwako inamaanisha nini?
  Halafu, high school umesoma nini?
  Una passion na kitu gani?

  Kozi kulipa ni suala lingine, na uwezo wako wa kuisoma hiyo kozi ni suala lingine.

  Kwani wewe unaonnaje sekta ya madini, inakua au inazorota?

  Baada ya kujibu haya nitaendelea.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  gas and oil ni subset ya geology.

   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unanguvu?,hiko poa ukipata soma
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani na tofauti ya Bsc. in Geology na Bsc. with Geology ni ipi?? Na ni faculty gani kati ya hizo ni zaidi ya mwenzake ki masomo na kiajila
   
 7. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Achana nayo, itakushinda. Hata kuiandika huwezi; hebu tuandikie neno 'diploma' tuone kama unaweza!
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  In Geology ni kuwa unasoma Pure Geology, lakini with Geology unasoma Geology na kitu kingine kisicho Geology, say Biology with Geology, Geography with Geology, Economics with Geology, History with Geology ect
   
 9. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hizo si ndo "Effects za ujana ndio huu,nitapumzika nikiwa babu"

  Kutwa nzima,usiku kucha ni kuchat facebook kwa nini mtu usisahau tahajia ya neno.
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  we OPAQUE....yap wenda kuandika siwez...ila wewe unaeeza uko wap na uweza wako??? umekusaidia nin?? computer inakosea ishindikane mim,kua mtu mzima!!!
   
 11. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 180
  Siamini kuwa computer huwa inakosea, naamini mtu anayeitumia ndiye huwa anakosea kuitumia.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmh, geology na history?
  Aisee, labda abroad.

  Kwa ufupi wee mtoa mada, geology ni rahisi, kikubwa uwe unavutiwa nayo utafanya vizuri tu.

   
 13. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Usiombe ushauri wa mambo ya ndoa kwa mtu ambaye simwanandoa atakupotosha.Tafuta mtu aliyesoma Geology mwulize,course kulipa au kutolipa mtaani inategemea na wewe umeisoma kwa malengo yapi.Wengi tunasoma ili tuajiriwe na siyo kujiajiri.Course inaweza ikawa inalipa mtaani wakati unaisoma,by the time unamaliza chuo hailipi mtaani.Dunia ya sasa mambo yanabadilika dairly.So do your home work usifuate mkumbo.
   
 14. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mkuu ni makosa ambayo kila mtu anaweza fanya..sasa kwa kigezo hcho ulichotumia sizani kama umetumia busara,kumbuka sisi ni binadam na makosa ni sehem ya maisha yetu,ila nashkur kwa mchango wako!!!
   
 15. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ni mawazo mkuu,na kwa upeo wako zaid!!
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kulipa nlimaanisha about job opportunities(kuajiriwa na kujiajir)
  high school nimesoma EGM(according to TCU guidbook 2012-2013 EGM unasoma cha msingi uwe na principal za maths na geog)..
  about passion,nlichagua hii caurse(Bscience with geology) kwa dhumun la kusoma maths nacomp science au maths na geograph(hii ni kwenye upande wa science) thn nichukue na hiyo geology(kwenye with geology)
  ABOUT mining sector kwa kel hali si mbaya...
  nawakilisha bro!!!
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Kongosho unashangaa Geology with History?..............Ancient history ambayo mara nyingi huwa iko covered na soft recent materials (sediments) huwezi kuipata vizuri kama hujui geology formation na Correlation kwa ufasaha (Hapa simaanishi Paleontology)........................ kuna historical features ambazo zimezikwa na sediments zinazokuwa deposited as results ya Barafu kuyeyuka ama zinazikwa na volcanic ashes (Oldvai Gorge), .................. anyway ni shule pana kidogo
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ukiniambia History kinachokuja kichwani ni vita vya maji maji, chifu Mkwawa, Songai Empire and the like.

  Sikujua kama Stratigraphy, GY100 na aina hiyo zinaingia kwenye history.
  Anyway, kama definition ya history hapa ni hiyo basi hata history inafaa.

   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Basi iko hivi, cha kwanza, geology inakua sana kwa sasa, angalia tu utafiti wa mafuta unavyokuja kwa kasi.
  Bado nchi kama Congo na Burundi hata west Africa zinahitaji wataalam hawa na wanaajiri watanzania wengi tu.


  Cha pili, geology is 'sexy', very interesting kama unaipenda.

  Cha tatu, kuchagua masomo iko hivi, ukiwa unaanza mwaka wa kwanza utakuta kabisa umepangiwa
  Kama wewe 90% najua utapangiwa kusoma Geology, Maths na Geography.(wanaangalia yale uliyopata credit kati ya hayo masomo yako matatu)

  Ukifika mwaka wa pili itabidi udrop somo moja ambapo utatakiwa kuacha either maths au geography, huwezi acha geology maana ndio main course hapo.

  Hapa pa kuchagua uache kipi kuwa mjanja, lazima ujue uwezo wako na unataka nini.
  Kama ni mtu unayefocus kwenye GPA kubwa afu una uwezo wa kati acha Math na uendelee na Geography na geology.

  Kama ni mtu ambaye unajali kupanua uwezo wa akili acha geography uendelee na geology na Math.

  Ila kama maths huwa unafaulu kwa mawazo, iache tu at the end of the day geologist ni geologist tu

   
 20. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa kuwaza kusoma Earth Science (eg Geology). Geology kwa ujumla wake ni sayansi ya miamba, kama ujuavyo Tanzania ni moja wapo wa nchi chache hapa Dunian ambozo zina madini ya kila aina (PAMOJA NA GAS AND OIL). Kuna course fulani nilishiriki mkufunzi alitoka Dubai, katika kutufundisha akawa anatoa mifano ya nchi ambazo minerals zinapatikana, bahati nzuri pale palikuwa na wanageologia waliobobea, kila alichokuwa anataja kinapatikana Tanzania tena kwa mifano halisi. Kwa hapa Africa Tanzania ni ya tatu kwa uchakachuaji wa gold na baadae huenda ikashika namba, Kwa upande wa resourses zilizopo ardhini bado ni kiasi kidogo kimebainika (explored) na ni kidogo mno kimevunwa (mined and processed). Tanzania bado inahitaji wataalam wa kufanya hizi kazi, WEWE KASOME UFAULU, UKIMALIZA MASOMO KAZI ZIPO NYINGI.
   
Loading...