Barcelona vs Real Madrid

Ila ni bora wamefunga faster faster maana kama Mourinho angefunga mapema angepaki basi mpaka mpira uishe.
 
yaani hii mechi ni kama computer game its like ni unreal. Objectively real wamebanwa haiwezekani. Football made simple by barca yaani its like everybody can play it the way wameurahisisha!

dah! Ka namuona mourinho vile!
 
Leo kuna kila dalili Mournho na vjana wale wataingia choo cha kike....
 
duuuh game lishaanza kuharibika sasa,ronaldo mbona unataka kutuharibia mpira si uoneshe vitu vyako na wewe.
 
Ronaldo kaanza fujo hapa naona kamsukuma kocha wa barca hapa, busara hana kweli. kapigwa njano hapa!
 
Yanga na Simba...kumbe EPL hamnaga bifu, i mean upinzan ehh? lol! hii ya R7 nimeipenda...
 
Ronaldo akikubal kuwa frustrated basi game kwishney, anapigwa red mda si mwingi, he is star, kwaio asikubali kuwa target...
 
You can't compare messi na ronaldo yaani wakati mesi katulia, ronaldo analeta fujo. Faulo hapa against barca, ronaldo kaipeleka nje!
 
Ronaldo kwisha panick hapa. Iko namsukuma kocha ya Barca! Yeye nakula kadi manjano na kipa ya Barca kwani ilitaka kumgusagusa Ronaldo.
 
Back
Top Bottom