ki uhalisia messi na ronaldo nani mkali wazee...
kila mmoja ana ukali wake mkuu.
jamani kuna mtu yeyote ana link ya live streaming ya hii kitu?
naaangalia hapa formation zinazotegemewa kutumika
real madrid 4-2-3-1
barcelona 4-1-2-2-1
source fc barcelona v real madrid | live | score | la liga 2010-2011 - yahoo eurosport uk
kituuuu hicho kimeanza.
hizi gonga za barca ni dunia nzima!