Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,204
jamaa wamefanya vizuri sana kuweka hii mechi leo.
sana mkuu .
kaka mtanange vipi?
bado nusu saa mkuu unaanza.
kaka nipo sehemu mbaya kidogo...sasa kama vipi mi nafuatilia hiyo mechi kwenye hii thread.....najuta kuikosa
real madrid will prevail and win the el clasico
game itakuwa tamu sana 50-50 mie na enjoy mpira tu .
ukipata line up tumwagie mkuu
hii malaria niliyonayo inaninyima uhondo. Nafuatilia kwenye thread hapa wakuu mnaoangalia. Mie nawasapoti Madrid