Barbershop ni kama madanguro

Barbershop ni kama madanguro

Of course massage itakufanya upate hisia na utajikuta unafanya mambo mengine tens na mwisho wa Siku ni ukimwi kama anao
Takriban watu 200 hu ugua ukimwi kila Siku
Kwahiyo jifikiria kwa nini hii massage asikufanyie mkeo
Mwanamke kumshika mwili wa mwanaume tayari ni + na - mwisho wa Siku ni majanga
Mjomba hizi ngonjera zako kahubirie watu sehemu husika. .mwache mjomba akale raha zake. Hapa kitaa jf hapakufai. ..wife anatoa masaji na michepuko kama kawa. .dume la mbegu lazima liwe kila mahali. We wanawake woteee hapa duniani eti dume zima linakazania mwanamke mmoja tuuu!
 
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.

Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti mrembo ananisalimia kwa bashasha na kunipokea mzigo wangu niliobeba kama vile mke anavofanya kwa mume akanikaribisha.

Nikaa kwenye kiti akaanza kunishika shika mashavu na nywele akanifunga lile shuka shingoni baada ya hapo akaja sasa kinyozi, akaninyoa kama ninavotaka alipomaliza akaondoka.

Yule binti akaja pale nae kaanza kuniuliza scrub vipi? Nikamwambia nifanyie akanifanyia vizuri tu kwa madoido huku tunapiga story mbili tatu.

Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?

Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.

Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!
Pole sana
 
Ngoja nikufundishe inavyo kuwa ili siku nyingine usishangae, hiyo 40 thau nikweli ni kwaajili ya masaji tu huko mtakapoamua kwenda, haihusiani na kuduu, sasa jua kuwa wakati anakukanda wewe unakuwa mtupu na yeye anakuwa amevaa nusu nguo, anakufanyia masaji ile sahihi kabisa, sasa minyege ikipanda anakwambia kufanyia masaji mboro sh elfu 10 unaongezea pale anakufanyia, sasa hapo ndo mizuka inapanda balaa unataka ingia tunduni anakwambia ukitaka sex ongeza hamsini kwa ugwadu ulonao unaweka mezani kisha unapewa goli moja tu kisha anavaa ukiomba la pili anakwambia ongeza elfu 20. jua kuwa anazo kondomu teyari kwenye masaji box yake kabisa. Wengine wanatembea na vilainishi in case ukataka mtandao pendwa,lakini jua pia mtandao pendwa una bei yake tofauti.
Ulichoongea ni madini tupu. Ngoja tuzungushie ukuta. Yaani hakuna cha kuongeza hapo mkuu umemaliza
 
Ngoja nikufundishe inavyo kuwa ili siku nyingine usishangae, hiyo 40 thau nikweli ni kwaajili ya masaji tu huko mtakapoamua kwenda, haihusiani na kuduu, sasa jua kuwa wakati anakukanda wewe unakuwa mtupu na yeye anakuwa amevaa nusu nguo, anakufanyia masaji ile sahihi kabisa, sasa minyege ikipanda anakwambia kufanyia masaji mboro sh elfu 10 unaongezea pale anakufanyia, sasa hapo ndo mizuka inapanda balaa unataka ingia tunduni anakwambia ukitaka sex ongeza hamsini kwa ugwadu ulonao unaweka mezani kisha unapewa goli moja tu kisha anavaa ukiomba la pili anakwambia ongeza elfu 20. jua kuwa anazo kondomu teyari kwenye masaji box yake kabisa. Wengine wanatembea na vilainishi in case ukataka mtandao pendwa,lakini jua pia mtandao pendwa una bei yake tofauti.
Yalalaaa
 
Mjomba hizi ngonjera zako kahubirie watu sehemu husika. .mwache mjomba akale raha zake. Hapa kitaa jf hapakufai. ..wife anatoa masaji na michepuko kama kawa. .dume la mbegu lazima liwe kila mahali. We wanawake woteee hapa duniani eti dume zima linakazania mwanamke mmoja tuuu!
Hahah duh
 
Kama zina element ya udanguro ni kuzifunga tu hazina tija.Hatuwezi kuangamiza jamii kwa ujinga mdogo.Serikali ndiyo baba akicheka na nyani atavuna mabua.Acha zifuatiliwe tu.
 
unatokea mkoa gani unatuzalilisha wenzako wa mikoani acha ushamba ndugu
 
Back
Top Bottom