Barbershop ni kama madanguro

Barbershop ni kama madanguro

Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.

Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?

Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.

Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!
ONDOA UPUMBAVU WAKO HAPA, WATAFUTE WAMASAI WAKUUZIE DAWA ZA 'GUFU'
 
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.

Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti mrembo ananisalimia kwa bashasha na kunipokea mzigo wangu niliobeba kama vile mke anavofanya kwa mume akanikaribisha.

Nikaa kwenye kiti akaanza kunishika shika mashavu na nywele akanifunga lile shuka shingoni baada ya hapo akaja sasa kinyozi, akaninyoa kama ninavotaka alipomaliza akaondoka.

Yule binti akaja pale nae kaanza kuniuliza scrub vipi? Nikamwambia nifanyie akanifanyia vizuri tu kwa madoido huku tunapiga story mbili tatu.

Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?

Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.

Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!

Si useme tu chanzo ni Azam news saa mbili jioni Jana?
 
Kweli technolojia imepanuka,nilienda Mwanza siku moja.
Nikashuka Stendi Moja ya mabasi,saa 12.30jioni hivi.Nikaenda kutafuta chumba cha kulala gest house ya jirani na stendi.
Nilipokaribia tu,dada mmoja akanidaka.Karibu kaka,tuna vyumba vizuri kwa bei nafuu,kila huduma inapatikana.
Akaomba kupokea begi langu nikagoma.
Nikamfuata nikijua ni muhudumu wa gesti hiyo,bahati yangu kumbe pale best vyumba vimekwisha,wakamwambia jaribu kwa Jirani.

Nikatoka usingizini,nikajua naingizwa town.
Akanisihi twende gest nyingine,nikaona nikikataa pale pale anaweza kupiga yowe za mwizi au kufanya vinginevyo ili tu anitoe pesa.
Nikamwambia twende sehemu nyingine.

Kwa furaha akatangulia hadi gesti iliyofuata,akauliza chumba na kuambiwa 20,000 self room.Akaniambia nilipe kwani kimebakia hicho tu.
Nikajidai kuchungulia,yeye kasimama ndani akijua atavuna kitu!
Nikamwambia mhudumu mimi nina sh.10,000/- tu.
Akanisihi sana hiyo dada nilipe.
Nilivuta kiti pale mapokezi nikakaa na kumuuliza,hivi wewe ni nani mbona unanifuata kila mahali unanijua?

Akapigwa mshangao,kwa aibu aliondoka.Baada ya dakika kama kumi,muhudumu yule akaniambia leo ungeingia mjini.Ila usilale hapa maana ataita vijana wakufuate usiku.
Niliondoka nikapanda Boda boda nikahama mtaa.
Mjini shule!
Mkuu hebu malizia huu uhondo sasa hapo mjini unaingizwaje?
 
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.

Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti mrembo ananisalimia kwa bashasha na kunipokea mzigo wangu niliobeba kama vile mke anavofanya kwa mume akanikaribisha.

Nikaa kwenye kiti akaanza kunishika shika mashavu na nywele akanifunga lile shuka shingoni baada ya hapo akaja sasa kinyozi, akaninyoa kama ninavotaka alipomaliza akaondoka.

Yule binti akaja pale nae kaanza kuniuliza scrub vipi? Nikamwambia nifanyie akanifanyia vizuri tu kwa madoido huku tunapiga story mbili tatu.

Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?

Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.

Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!
Daaaah hiii ni mbinu Ya kumkwepa makonda ila kuwa makini maana Nina Uhakika hata hiyo scrb ulifanyiwa pasipo kupemba yani inawezekana ulitoa hela yya mboga Ya home, jamani wanaume tuondoe aibu ukienda saloon ukiaambiwa scrb vipi kataaa Kama hukua na huo mpango utajikuta Kama wewe ni mshamba au wa wakunogewa kushikwa shikwa unaondoka mkavuuuu hata nauli Ya daradala unakosa Kama huna bajeti nyoa ondoka hao mabinti sio watu mtalaza watoto njaa
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha
 
Watu wa mikoani bwana mkishafika hapa mjini mntuharibia kwa wake zetu.
Mengine ni siri zetu unayaleta mtandaoni ili tusindikizwe kwenda saloni ama?
Mwambie bhana, maana huu uzi alikuwa anausoma wife hapa naona kaja na simu anauliza haya ndo huwa mnaenda kufanya huko saloon,
Kaka mkubwa umeharbu aisee
 
Daaaah hiii ni mbinu Ya kumkwepa makonda ila kuwa makini maana Nina Uhakika hata hiyo scrb ulifanyiwa pasipo kupemba yani inawezekana ulitoa hela yya mboga Ya home, jamani wanaume tuondoe aibu ukienda saloon ukiaambiwa scrb vipi kataaa Kama hukua na huo mpango utajikuta Kama wewe ni mshamba au wa wakunogewa kushikwa shikwa unaondoka mkavuuuu hata nauli Ya daradala unakosa Kama huna bajeti nyoa ondoka hao mabinti sio watu mtalaza watoto njaa
Kwel kabsa
 
huku " da slam ..mke akupokee mzigo amerogwa au..?? kwanza unaweza kutangulia wewe kurudi katika pilika zako ukafika home "" ukakuta yeye bado hajarudi ""toka kazini " sasa hapo nani atakayepaswa kumpokea mwenzake ...

nakumbuka niliendaga usukumani nikashangaa kuwa ona wa mama wa kisukuma wakiwa wanawapigia magoti "" kila mwanaume wakisukuma wanaye kutana nae Njiani "" kwakweli niligeuka mtalii "" wacha niwashangae ...hahaa """
Hahah huyo sio wife material toa talaka mapema
 
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.

Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti mrembo ananisalimia kwa bashasha na kunipokea mzigo wangu niliobeba kama vile mke anavofanya kwa mume akanikaribisha.

Nikaa kwenye kiti akaanza kunishika shika mashavu na nywele akanifunga lile shuka shingoni baada ya hapo akaja sasa kinyozi, akaninyoa kama ninavotaka alipomaliza akaondoka.

Yule binti akaja pale nae kaanza kuniuliza scrub vipi? Nikamwambia nifanyie akanifanyia vizuri tu kwa madoido huku tunapiga story mbili tatu.

Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?

Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.

Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!
Mi nadhani ungeenda kwanza then mkiishia kwenye maswala ndio utuambie. Kuliko hivi kutuambia kwa kutumia dhana, pengine hata huko lodge au gesti mngeishia masaji tu
 
Sawa ntamatfuta nikajaribu afu ntakuletea mrejesho
 
Sasa azam amehusikaje hapo
Wanahusika kwani hii story waliitoa Jana jioni kny azam news saa mbili jioni...sasa wewe ukajifanya kugeuza location ya tukio ili tukuone bonge la muibua taarifa kero kwa wananchi.

Huna tofauti na wale wanafunzi wa vyuo wanaodesa research report za zamani na kuzichakachua kuwa zao na kupewa A+ kny research.
 
Wanawake sahivi wanauza kila kitu hadi roho zao
 
Wanahusika kwani hii story waliitoa Jana jioni kny azam news saa mbili jioni...sasa wewe ukajifanya kugeuza location ya tukio ili tukuone bonge la muibua taarifa kero kwa wananchi.

Huna tofauti na wale wanafunzi wa vyuo wanaodesa research report za zamani na kuzichakachua kuwa zao na kupewa A+ kny research.
Cha kustaajab hapa nilipo situmii kingamuz cha azam afu mm sinaga mda wa kuangalia tv..anayway hivo ndivo ulivofikiria ww sikualum
 
Back
Top Bottom