Barber shop inapangishwa

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,712
Habari wakuu. Napangisha barbershop baada ya kushindwa kumalizia manunuzi ya baadhi ya vifaa. Ni mpya kabisa na ndani kuna vioo vitatu pamoja na droo zake, AC na Stand ya TV. Bango lipo unaweza kubadilisha kitambaa ukitaka.
Ipo njia ya mikongeni katikati ya Mwananchi na Garage (Mandela road?.
Kodi ni laki na nusu (150,000) kwa mwezi.
Note that unaweza kubadilisha matumizi ikawa saloon ya kike au office ndogo.
Karibuni sana pm tupeane mawasiliano kwa mtakaovutiwa.
Asanteni
 
Vitu gani vimefemea , ? Shuka kodi kidogo tufanye biashara , au Mimi now eke Viti 2 , unamiliki kiti kimoja na Mimi kimoja ,tuna share kodi
Sijaelewa uliposema vitu vimefemea mkuu
 
Anyway. Ningependa kwa ambae anavutiwa anilipe kodi tu alafu aongeze vitu vilivyopungua ila ukimaliza mkataba wako unaniachia vitu vyangu kama hutotaka kuendelea. Saloon ipo barabarani na parking zipo na pia imezungukwa na bar mbili
 
kodi ikifika sh 120000 niambie
 
Eneo hilo kwa biashara ya saloon ni hasara, vijana wana hali mbaya kiuchumi, kunyoa kwao 2000 haitalipa. Fungua baa
 
Eneo hilo kwa biashara ya saloon ni hasara, vijana wana hali mbaya kiuchumi, kunyoa kwao 2000 haitalipa. Fungua baa
Mfumo wa frem unafaa kwa malengo niliyotaja hapo juu mkuu. Kwa bar hapafai
 
Bado ipo wazee kama kuna ambae yupo interested
 
Hii Ac inafanya Kazi mkuu?
 
Bado ipo wakuu. Mje tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…