Barbara Gonzalez amkwepa Manara, asema focus yake kushinda game ya Jumapili

Na hasiposginda hiyo mechi hakika patachimbika. Utatueleza hiyo Nani kawamilikisha. In Kilomon's voice
acha ujinga we fala, mtamfanya nini nyie malofa? Ungejua wajinga kama wewe katika Simba hamzidi 1000
 
Ila uongozi wa Simba nao umezidi kumlea huyo Manara. Mtu aliyekiri mwenyewe kwa kinywa chake kupitia "clip" aliyoirusha kuwa analipwa TZS 700,000 kwa mwezi sasa notisi na mafao yake yote si hayafiki hata TZS 5,000,000. Mlipeni haraka aondoke badala ya kumuacha aendelee kuharibu mambo hapo klabuni.
 
kwa hiyo wanasimba wako upande gani kwenye hii vita kwa demu au kwa men?
Hao ni mbumbumbu tu 😁😁😁 zinapotea rabsha kama hizi, huwa wanajikuta wapo njia panda! Hawaelewi waende kushoto au kulia!

Angalia suala la Mzee Kilomoni vs Moo, Kigwangala vs Moo, nk.
 
Hao ni mbumbumbu tu 😁😁😁 zinapotea rabsha kama hizi, huwa wanajikuta wapo njia panda! Hawaelewi waende kushoto au kulia!

Angalia suala la Mzee Kilomoni vs Moo, Kigwangala vs Moo, nk.
Kwa hiyo tuhitimishe kwamba simba hawajielewi?
 
Nd

Hapo utaona tofauti ya MSOMI na mropokaji
Meopokaji hutoa maelezo meengi yaliyojaa jazba na pumba wakati msomi huongea sentensi chache zenye utulivu zilizojaa hekma na tafsiri yake waweza kujaza kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…