mwenyekiti wa baraza-Rais
katibu-katibu mkuu kiongozi
wajumbe- mkuu wa majeshi, IGP,Mkuu wa magereza, Mkurugenzi wa TISS, Waziri wa ulinzi, waziri wa mabo ya ndani n.k
thread is too hot for JF
Invisible kaamua kuificha huku
we dare talk openly?
huku kweli nani atakuja kuchangia ?
Lipo na linafanya kazi; Mara ya Mwisho tulisikia tamko la Baraza la Usalama wakati ile Meli ilizama Zanzibar (Is slander).... Tamko lilisomwa na Katibu Mkuu kiongozi..... kwa Hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao
1. Rais.....
2.Katibu mkuu kiongozi...
3....................
4.....................
Kutokana na ripoti ya Mwakyembe ilivyokuweka juu, nasubiri hiyo nyeti najua huwa haubahatishi.
Ngoja niendelee ku-refresh kompyuta yangu na kujiandaa ku-savefasta kambla haija chomolewa lazima kuna kitu kinatisha....achana na petty politics za personalities
this thing is bigger than Mwakyembe na hao akina slaa
Ngoja niendelee ku-refresh kompyuta yangu na kujiandaa ku-savefasta kambla haija chomolewa lazima kuna kitu kinatisha....
Wakuu huyu si Jason Bourne mliye mzoea huyu ni Jasonbourne! ametumwa kuvuruga wasomaji kwa kumwaga upupu! Kwanini mods wanaruhusu tofauti ya space kama ID mpya? Rekebisheni haraka ID ziwe na tofauti ya wazi!WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:
1. Je limeundwa lini?
2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?
3. Je Zanzibar wamo au hawamo?
4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?
5. wanakutana mara ngapi?
6. mwenyekiti wao ni nani?
7. Katibu wao ni nani?
8. Wanaripoti kwa nani?
9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?
10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?
11. je website yao ni ipi?