Dr.Mbura Senior Member Joined Jun 30, 2009 Posts 196 Reaction score 128 Nov 4, 2010 #1 Niko kwenye maombi kumuomba Mungu ili baraza la mawaziri lisiwe na mafisadi papa
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 231 Nov 4, 2010 #2 unamuomba mungu yupi huyo?
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,251 Nov 4, 2010 #3 CCM wana namna yao ya kufanya maamuzi ambayo ni kero kwa wananchi
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 274 Nov 4, 2010 #4 Watakosekanaje mafisadi wakati wao ndo wamemweka bosi wetu?
B bojuka Senior Member Joined Sep 9, 2010 Posts 128 Reaction score 1 Nov 4, 2010 #5 kwanini wasiwe mafisadi lazima jk atachagua mawaziri watakaohakikisha fedha zilizotumika kwenye kampeni zinarudi kwa nguvu zote.
kwanini wasiwe mafisadi lazima jk atachagua mawaziri watakaohakikisha fedha zilizotumika kwenye kampeni zinarudi kwa nguvu zote.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Nov 4, 2010 #6 Kwenye kura za maoni kwenyewe almost wote walionyesha dalili za ufisadi kwa kuhonga kupita kiasi...na ndio haohao watakaochaguliwa! Mi naona bomba tu, chagueni mapapa maana mtakuwa mnaandaa ushindi mnono sana kwa cgadema hapo 2015
Kwenye kura za maoni kwenyewe almost wote walionyesha dalili za ufisadi kwa kuhonga kupita kiasi...na ndio haohao watakaochaguliwa! Mi naona bomba tu, chagueni mapapa maana mtakuwa mnaandaa ushindi mnono sana kwa cgadema hapo 2015
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,291 Nov 5, 2010 #7 Tabiri orodha.