baraza la mawaziri

Dr.Mbura

Senior Member
Jun 30, 2009
194
122
Niko kwenye maombi kumuomba Mungu ili baraza la mawaziri lisiwe na mafisadi papa
 
CCM wana namna yao ya kufanya maamuzi ambayo ni kero kwa wananchi
 
kwanini wasiwe mafisadi lazima jk atachagua mawaziri watakaohakikisha fedha zilizotumika kwenye kampeni zinarudi kwa nguvu zote.
 
Kwenye kura za maoni kwenyewe almost wote walionyesha dalili za ufisadi kwa kuhonga kupita kiasi...na ndio haohao watakaochaguliwa!
Mi naona bomba tu, chagueni mapapa maana mtakuwa mnaandaa ushindi mnono sana kwa cgadema hapo 2015
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom