Ni kiongozi shupavu, mpenda watu wote bila ubaguzi huyu. Ndo maana anavuta vuta kidogo ili wale waliojiandaa kupeleka aksante zao ziwe nono. Kama kuteuliwa walitoa, je kupokea si lazima waoneshe shukrani?
Tz bana. Kila jambo ni issue. Awatangaze au asiwatangaze, sijaona faida yao. After all si wataanzia tangu siku mwenzake alipopigwa chini? Arrears kibao, tena bila jashooo.