Baraza la mawaziri

Baraza la mawaziri

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
1,750
Reaction score
253
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
 
Kagoma nani kasema??? Ni wewe tu na kiherehere chako cha kutaka kujua. Ahhahahahahahhahah
 
Natamani asitangaze mpaka ipite miezi ili watu viroho viwe juu mpaka vishuke chini vyenyewe
 
  • Thanks
Reactions: jcb
jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
si lazima taifa liwe na mawaziri makatibu wanatosha.......inabidi tutengeneze mifumo na mitazamo tofauti.......
 
Nchi inasonga manaibu waziri makaitibu wakuu si wapo mikataba feki kama kawaida
 
Hawana impact yoyote, hata bila ya wao kuwepo kazi inakwenda, wanaongeza gharama tu na kujikweza bila manufaa yoyote, makatibu wakuu wanatosha. Asitangaze.
 
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu

Vuta subira atatangaza wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 uwanja wa taifa, december 31 this ya
 
jamaa anajipanga haswaa siunajua hili ndo pindi lake la mwisho...sema hata achambue vipi ndani ya magamba mijusi wengi mno.
 
tz daima wameandika leo jk anatangaza kwa hiyo vuta subira huenda sa sita kasoro jk anaweza akapanda hewani
 
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
Nji hii bila mawaziri inawezekana, kwani mpaka sasa tumewamissi?
 
sijui na mimi atanichagua ,nimeshatoa kidogo cha wapambe kupeleka jina langu
 
Vumilieni jamani kidogo Sangoma wafaidi kwanza.
 
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu

Sio tu hao watano, hata yeye mwenyewe akikaa pembeni!
 
Back
Top Bottom