Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

Ofisi ya mkaguzi wa hesabu (Auditors) sifa yao ya kwanza ni HURU.

Kabla hatujafika unakowaza watwambie kwanza walikosa Uhuru? Na kama walikosa kanuni zake za muhimu zinataka waseme WAMENYIMWA UHURU.

Na moja ya hatua ni wao KUJIUZURU kuhusu kuifanya kuikagua ofisi hiyo na kuandaa andiko la Evidance ya kukosa uhuru. Tuondeleeni tabia ya kulea madudu kwa kufurahia kufukia tu.

Ukimwajibisha kwa kumweka pembeni waziri naye akaenda kukaa kimya bila kusema shida ilikuwa wapi kama taifa tutapata nini?
Wakabwe CAG Office waseme to what extent they were intervened! Tumjue wa kumwajibisha kwa stahili ya his/her actions.
 
Kwa hiyo kazi ya RAIS ni uteuzi tuu.Hakuna kazi nyingine ya kufanya.Hilo gazeti lenu la mandazi RAIA MWEMA naona linawapoteza
 
Tanzania Ina Mwanasheria wa Ajabu kupata Kutokea MWANASHERIA MKUU yupo BUNGENI ,Spika anakiuka KATIBA kwa Makusudi Anaangalia
 
Auditing ni kitu muhimu sana kwa mashirika yetu haya ya umma.
Auditing and taking action against all those found to have squandered public money not promoting them like what they did to sabufa's usingizi.
 
Sasa mradi wa bwawa la umeme huoni kama unataka kumpa lawama Kalemani na Tanesco? We all knows who decided on those projects, Kalemani na Tanesco unawaonea tu, labda kidooogo huyo mwana sheria but nae tutamsingizia bure, tunajua remote ilikua imeshikiliwa na nani
 
Wale jamaa waliokuwa wanapanga mipango ya mapinduzi imekula kwao aisee.

Yaani mtu unapanga kumpindua mama alafu unafikiri utabaki salama?

Hongera kwa Mabeyo na JWTZ kwa kukataa mipango ile na kusimama kizalendo.
 
Usimsahau yule aliyeokotwa jalalani Kalamaganda Kabugi ambaye naye aliukumbatia kila uovu uliofanywa na yule dhalimu mwendazake. Huyo naye ni wa kupiga chini haraka sana.
 
Bunge wali clear ishu ya Tanesco kutokujaguliwa na wakasema shida ilikua kwa CAG.

Kabla hamjamtuhumu mtu muwe mnajitahidi kupata taarifa za kina msionekane kama hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…