Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,223
Hivi mansoor wa MOIL,ndo yule wa kituo cha mafuta kilichovunjwa pale kirumba enzi za mkapa?..Manshoor apewe uwaziri mbunge mpole sana

Ofisi ya mkaguzi wa hesabu (Auditors) sifa yao ya kwanza ni HURU.Waziri anawajibika kama msimamizi was taasisi zilizo chini yake, pia anawajibika kisiasa kama ninavyopendekeza atumbuliwe. Haiwezekani nchi nzima tunalipa LuKu halafu hizo pesa hazikaguliwi zimetumikaje, labda kuna watu wanakula tu hiyo hela inayochangwa na watanzania masikini na wanyonge
Kwa hiyo kazi ya RAIS ni uteuzi tuu.Hakuna kazi nyingine ya kufanya.Hilo gazeti lenu la mandazi RAIA MWEMA naona linawapotezaNasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri.
Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia...
Tanzania Ina Mwanasheria wa Ajabu kupata Kutokea MWANASHERIA MKUU yupo BUNGENI ,Spika anakiuka KATIBA kwa Makusudi AnaangaliaNasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri.
Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia...
Auditing and taking action against all those found to have squandered public money not promoting them like what they did to sabufa's usingizi.Auditing ni kitu muhimu sana kwa mashirika yetu haya ya umma.
Uyo uyo mkuu gari take haina plate number huwa imeandikwa MOILHivi mansoor wa MOIL,ndo yule wa kituo cha mafuta kilichovunjwa pale kirumba enzi za mkapa?..
Anafaa ni mbunge mwenye ushawishi kwimbaAnadaiwa kodi ya ardhi ya karasha lake Buhongwa na hataki kulipa, anasumbua tu serikali mahakamani, kama hana uzalendo was kulipa kodi hatufai
Amuondoe Dada Joy ambaye tangu ateuliwe ana deal na shule za private huku za serikali zikizidi kudorora. Dada Doro naona akili zimeanza kurudi baada ya mwendazake kuondoka kwenye limelight.Manshoor apewe uwaziri mbunge mpole sana
Hajui ata ku solve quadratic equation uyo naamini hiloAmuondoe Dada Joy ambaye tangu ateuliwe ana deal na shule za private huku za serikali zikizidi kudorora.
Dada
Wale jamaa waliokuwa wanapanga mipango ya mapinduzi imekula kwao aisee.Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri.
Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia.
Kuna uwezekano huko kuna uchotaji mkubwa wa pesa.
Kandarasi zote na sub contract za stiglers zikaguliwe kwa kuwa mwendazake alikuwa na tabia ya kuchomekea kampuni zake katika tenda za miradi ya kitaifa.
Pia tuelezwe ile miti iliyokatwa pale selous ilipelekwa wapi, nani kauziwa, pesa ilipelekwa wapi.
Hii iende kwa standard gauge railway, shirika la reli halijakaguliwa japo linatazamiwa kumeza trilioni zaidi ya 20, kama hapakaguliwi maana yake kuna watu wameweka mjira wa kula, hawataki uguswe.
ATCL pia
Mwanasheria Mkuu wa serikali ndiye alisimamia sheria kandamizi na kusimamia kesi kandamizi dhidi ya watanzania, bila shaka mtu huyu ni irrelevant kwa awamu ya sita inayofata sheria pamoja na haki za binadamu na utu.
Huyu aliyetunga sheria za kidikteta ili kuustawisha atupishe mapema, katiba ilivunjwa mbele ya macho yake, sheria zilivunjwa akiona, wananchi waliozea gerezani akinywa waini.
Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri.