FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Mmhhh! kama CDM vile... ila ni kumbukumbu nzuri,
Tanzania imetoka mbali.
Tanzania imetoka mbali.
Msuya[emoji15] [emoji15] [emoji15]Jumbe marehemu, Sokoine, Seif Sharifu, Msuya, Kawawa,
Ndio Cleopa Msuya wa pili kulia mstari wa mbeleMsuya[emoji15] [emoji15] [emoji15]
wa miaka ya 99 katika uboraNamemtambua Nyerere tu
Watoto wa Tisini nyieHapo nimemjua Sokoine tu
Umejuaje yaniWatoto wa Tisini nyie
NEC YA CHAMA AMBAPO MWANAMKE PEKEE ALIKUA GETRUDE IBANGWE MONGELAYupo hapo lakini kuna mdau hapo juu amesema picha hii imepigwa ofisi kuu ya ccm unguja
Hao ndio mlituaminisha na kutaka tuamini kuwa hawakufanya lolote tangu Tanzania inaundwa? CHADEMA bhana!Mmhhh! kama CDM vile... ila ni kumbukumbu nzuri,
Tanzania imetoka mbali.
Kulia kabisa mstari wa mbele ni mzee KingungeHivi kulia kabisa sio Mzee Malecela?