Baraza la Mawaziri la kukumbukwa

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Pichani ni baraza la mawaziri la kukumbukwa katika historia ya Tanzania
BRGOub2gsoA.jpg
 
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na safu yake ya viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar enzi hizo. Kwa haraka haraka unaweza kuwaona Mzee Kawawa, Aboud Jumbe, Mzee Cleopa Msuya, Edward Sokoine, Dk. Salmin Amour na Dk. Salim Ahmed Salim.
 
Sefu sharrif hakuwa kuhudumu kama waziri kwenye serikali ya muungano.alishika nyadhfa hizo Zanzibar tu
Yupo hapo lakini kuna mdau hapo juu amesema picha hii imepigwa ofisi kuu ya ccm unguja
 
Wazee wetu hawakuwa na makuu katika mavazi hebu check huyo hayati Sokoike shati ya rangi nyingine na suruali rangi nyingine, hawakua mabishoo wazee wa watu
 
Back
Top Bottom