Mkuu mbona unauliza jibu we we umewahi kuona wapi nchi hamna waziri fedha mambo ya ndani na waulinzi ckuzote hizo jk katoa mpya
Magwanda analilia Baraza la Mawaziri la Serikali ya CCM...vyombo vya habari vimeshadadia wee mpaka sasa naona vimesanda. kila mwandishi alikuwa akijinasibu kivyake lakini wamechoka. wengine wakasema jana ndo tungejuwa nani ni nani na nani siyo nani, lakini wapi.
sasa nataka kujua, hili baraza 'jipya' la mawaziri linaandaliwa ghetto?
Kazi ya Naibu Waziri ni nini?katiba na rasimu ya katiba mpya vinasemaje kuhusu wizara kukaa bila waziri? for how long. tunajuwa jimbo linaweza kukaa bila mbunge kwa siku 90 kabla ya kuitishwa uchaguzi mdogo. vipi kuhusu wizara kutokuwa na waziri?
;Rais dhaifu,Baraza la mawaziri DHAIFU!
Magwanda analilia Baraza la Mawaziri la Serikali ya CCM...
Kazi ya Naibu Waziri ni nini?
tanzania bila mawaziri inawezekana