BARAZA LA MAPINDUZI

Fasir

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
222
270
Wakuu
Mara kwa mara nimekua nikisikia Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi but kiufupi silijui hili baraza Kwahiyo naomba kuuliza maswali yafuatayo.

1.wajumbe wa baraza hili ni ki nani?
2. Majukumu ya baraza hili ni yapi?
3. Mwenyekiti wa Baraza hili huchaguliwa vipi na nani?
4. Baraza hili lilianzishwa mwaka gani?
5. Baraza hili la mapinduzi linahusiana na Baraza la Mawaziri?

Wadau naomba msaada wenu katika jambo hili.
 
Rais wa jimbo la Zanzibar moja kwa moja ndiye mwenyekiti wa baraza la mapinduzi. Wengine wataendeleza ufafanuzi
 
Back
Top Bottom