Baraza la Kiislamu la Maadili lalaani kuzomewa Dk Magufuli

Wewe huibi kazini kwako? Acheni unafiki bwana asitaka nauli mpya aogelee tu

Kwanza nakuweka kiporo, nina Manchester Darby as for this hour nikirudi nitakueleza ujinga wako kwa kina, ili uelimike na uwaelimishe wengine wanaodhani wizi ni sifa.
 
Kama serikali inajua gharama zimepanda, umeshahoji kwa n ini mishahara haijapandishwa? Unaleta ushabiki usio na manufaa ili kutafuta sifa. Ndio namna unayoonyesha jinsi ulivyo mtu wa imani kama unavyojinadi au?

Kama unaona Serikali inakulipa mshahara haukutoshi amma anza ujasiriamali amma kaajiriwe mashirika na viwanda binafsi. Mambo yakutegemea kazi za Serikali ni ya kizamani. Sasa hivi kuna soko huria, mfumo wa kibepari, mambo ya mashirika ya umma yalikufa zamani.

Usingoje Serikali ikufanyie, jiulize wewe unaifanyia nini Serikali? Kila unavyokuwa mbunifu wa kutafuta vyanzo vya fedha nje ya Serikali ndipo unapzidi kuisaidia nchi yako, kwani ukipata kipato zaidi utalipa kodi zaidi. Funguka usiwe kama msukule.
 
Back
Top Bottom