Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye baraza la Idd litakalofanyika kesho kwenye msikiti wa Gaddafi Dodoma. Sherehe zinafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya anaendelea kusakwa na waasi.
Waislamu wa msikiti huo walishawahi kupanga maandamano ya kumuunga mkono Gadafi. Sijui kama mpango wa kuadhimishia Baraza la Idd hapo ni coincidence tu, au mpango makhsusi wa kuonyesha kumuunga mkono japo yuko katika twaabu!
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye baraza la Idd litakalofanyika kesho kwenye msikiti wa Gaddafi Dodoma. Sherehe zinafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya anaendelea kusakwa na waasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.