Nilikuwa natamani siku zote mhongo arudishwe kwenye wizara ileile ya nishati na Madini na lukuvi amalizie Kazi aliyoianza. Nilitamani Mwakyembe, January, kigwangara, nchemba wawemo. Cha kufurahisha ni uwepo wa Anthony Mavunde kwenye wizara inayohusu vijana. Thanks Magufuli! Wakafanye Kazi na wasikuangushe.
Mh Mwigulu Nchemba na Kigwangwala wapo wizara gani?
Sijawaona!
Nape hongera zako kwa kuukwaa uwaziri,watu wamechonga sana juu yako wapotezee tu
nimemtoa maana magu
Hao vijana wote ni hazina ya taifa. Tunatarajia wawe marais wa baadae.
nimemtoa maana magu
Jafo ndani!! Afadhali labda mahakama ya kadhi itapita
Mi kanikosha kwa muhongo lukuvi na huyo mavunde kama ndio yule dogo wa dodoma namkubali mno!