Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
Kwa niaba ya waislam wote wanaotumia Jamii Forum ningependa kuwatakia Iddi njema leo. Pia ningependa kuwatakia wale ambao wanasubiri kutangaziwa na BAKWATA au Serikali kama kesho wale Iddi ( kesho Shawwal 2) nao iddi njema.