Barakaaaaa & Vigelegeleeee!!!!

UPDATES:
_____________
Familia ya Karachuonyo hatimaye wameruhusiwa kutoka hosptalini hapo St Thomas wakiwa na afya NJEMA kbs mama & mtoto.

Karachuonyo,kazi ni kwako wewe na mama kama alivyotangulia kusema Kande kavu ya kwamba ukitegemea magamba wakupe neti kwa ajili ya mbu hakika itakula kwako! Ama utakula wa chuya. MUNGU akawaongezee nguvu na upate nguvu ya kuwalisha familia yako. Uwe na wakati mzuri!
 
Hongera sana mkuu,mkamtunze vyema mtoto na muwe makini msije kumbemenda, ikifika siku ya kumzibua mtoto maskio utupm tukupe maushauri nasaha.
 
Hongera sana mkuu,mkamtunze vyema mtoto na muwe makini msije kumbemenda, ikifika siku ya kumzibua mtoto maskio utupm tukupe maushauri nasaha.

Muungwana hebu toa dokezo kidogo juu ya kumzibua mtoto tafadhali hata kama siku yao haijafika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom