Baraka za Lowassa zaipa ushindi Taifa stars

Baraka za Lowassa zaipa ushindi Taifa stars

Akiwa jijini arusha Dr magufuli alisema ataendeleza michezo ila mwisho alisema anaitakia ushindi stars coz na yy alikuwa mchezaji golikipa enzi zake
 
Hi

Jana mh. Lowassa aliitakia ushindi timu yetu ya taifa kupitia taarifa ya habari ya ITV na hii leo tim yetu imefanikiwa kuigaragaza timu ya Malawi 2-0.

Huyu mh. anaonekana kuwa na baraka sana, shime watanzania tumpe kura..

Magamba watakuja hapa na kudai source.... Hii hapa chini

Raisi amewapa hamasa wachezaji, Magufuli angesema mkifungwa ndio hamna kazi tena.

Kuna mdau aliwahi kusema..Ikulu ni lango kuu la kuingizia baraka

Sasa kaz kwetu wapiga kura!!!! Baraka zishaanza hata kabla

Sidhani kama ni vizuri kuingiza siasa kwenye timu za mpira hasa timu ya Taifa, Simba na Yanga zina wapenzi wa vyama vyote pia kwa timu ya taifa, msiwatie unyonge watu na kwa jana kila mtanzania alipenda timu ya Taifa ishinde ikiwemo kwa Lowassa na Magufuli. Hapo juu kuna uthibitisho wa Lowassa na video hapa chini ni uthibitisho kwa Magufuli, angalia dakika ya 26 sekunde ya 52.

Last edited by a moderator:
Hi

Jana mh. Lowassa aliitakia ushindi timu yetu ya taifa kupitia taarifa ya habari ya ITV na hii leo tim yetu imefanikiwa kuigaragaza timu ya Malawi 2-0.

Huyu mh. anaonekana kuwa na baraka sana, shime watanzania tumpe kura..

Magufuli alikuwa live Arusha akiitakia ushindi timu ya Taifa, hukumsikia!??hebu tuache biased unazi!
 
Upumbavu wa baadhi ya wa Tanzania umefikia dew point. Kweli tuna mawazo duni khaaaa!!
 
Akiwa jijini arusha Dr magufuli alisema ataendeleza michezo ila mwisho alisema anaitakia ushindi stars coz na yy alikuwa mchezaji golikipa enzi zake
Bila shaka alimuiga Lowassa maana copy and paste ndo zake"
 
Umeanza kulipenda Jambazi sugu ulipoambiwa na Mbowe ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unaweza kutuambia ni nini alichoiba? na ukishindwa kutuambia NYOOOKOOO!!
 
gamba acha kupanik, ukawa itashinda asubuh kweupe
Sijaongelea maswala ya kusinda au kushindwa ka ukawa... My issue is unakaa mtu mzima kusema taifa sstars wameshinda sababu ya baraka za Lowassa, hehehe imani gani hizo za kijinga?
 
Oneni bao la mkono lilivyoandaliwa hapa. huu uzi kila napouweka unafutwa fasta fasta wadau.
KULINGANA NA TAKWIMU ILIYOTOLEWA NA TUME WATANZANIA 23700000 WAMEJIANDIKISHA NA SIKU YA KUPIGA KURA VITUO 72000 VITATUMIKA KUPIGIA KURA NA KILA KITUO KINATAKIWA KIWE NA WAPIGA KURA 450 JE UKIANGALIA HIYO TAKWIM NA IDADI YA WAPIGA KURA MBONA VITUO ULIVYO VITAJA NI VINGI KULIKO IDADI KAMILI YA HESABU.
Tuhakiki
Chukua idadi ya watanzania waliojiandikisha 23700000 gawanya kwa wapiga kura wa kila kituo ambao ni 450 jibu linalopatikana ni 526670 ambayo ndio tungetegemea iwe idadi halisi ya vituo vya kupigia kura.
Kulingana na hesabu za jaji Lubuva vituo 72000- 52666=19333
Kwa maana hyo kulingana na hesabu zangu kunavituo feki 19333
Goli la mkono mwisho bafuni
Chukua 19333 x 450 = 8700000
Jaji lubuva kaandaa vituo feki 19333 vitakavyokua na wapiga kura mil. 8700000
JAJI LUBUVA USITAKE KUTUHARIBIA NCHI YETU CHUNGA SANA
ICC ITAKUHUSU
ULIPO TUPO
 
Unaweza kutuambia ni nini alichoiba? na ukishindwa kutuambia NYOOOKOOO!!

Mtoto mdogo kama wewe unayelamba peremende hata huwezi kufahamu chochote zaidi ya matusi. Tupo Watanzania wengi tu wenye akili timamu na hili Jambazi lenu sugu linalowalisha peremende siku zake zinahesabika .. .. mark my words.

Angalia hilo jina Wacha1 ni lini limekuwepo hapa jukwaani? Sisi ndio waasisi wa hii forum, sisi ndio tunafahamu fika kwa nini hii forum hadi leo bado inasimamam lakini inasuasua, do not play with fire unakumbuka nani aliimba hivyo! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kimburu we.
 
Last edited by a moderator:
Sijaongelea maswala ya kusinda au kushindwa ka ukawa... My issue is unakaa mtu mzima kusema taifa sstars wameshinda sababu ya baraka za Lowassa, hehehe imani gani hizo za kijinga?

mh! kumbe kuna na imani za kijinga! zinafuatwa na dini gani mkuu?
 
mh! kumbe kuna na imani za kijinga! zinafuatwa na dini gani mkuu?
Dini hai-matter, imani si lazima iwe dini, imani ni imani tu towards kitu fulani, kama wewe unavokaa kuamini Lowassa akitakia timu ushindi basi inashinda. Hiyo kazi waachie watoto we mtu mzima
 
Back
Top Bottom