Baraka za Lowassa zaipa ushindi Taifa stars

Baraka za Lowassa zaipa ushindi Taifa stars

ebu acheni upumbavu wenu,lowasa amekus kiongozi wa juu kwa miaka ishirini tena waziri mkuu,kiongozi wa serikali hii ya kipuuzi timu hsikfanya vizuri leo kaondoka timu inafanya vizuri maana huyu ni gundu kabisa kuondoka tu ndani ya serikali timu inafanya vizuri.
 
Stars imeshinda, imepewa kila la heri na Mh Lowasa. Kweli mwaka wa mabadiliko na ikulu ni lazima nywele nyeupe, moyo mweupe hakuna kinyongo.
 
Hi

Jana mh. Lowassa aliitakia ushindi timu yetu ya taifa kupitia taarifa ya habari ya ITV na hii leo tim yetu imefanikiwa kuigaragaza timu ya Malawi 2-0.


Huyu mh. anaonekana kuwa na baraka sana, shime watanzania tumpe kura..

Huku sasa sio kupenda bali ugonjwa,heri uchaguzi upite,watu warudiwe na fahamu zao
 
ebu acheni upumbavu wenu,lowasa amekus kiongozi wa juu kwa miaka ishirini tena waziri mkuu,kiongozi wa serikali hii ya kipuuzi timu hsikfanya vizuri leo kaondoka timu inafanya vizuri maana huyu ni gundu kabisa kuondoka tu ndani ya serikali timu inafanya vizuri.

Na hii ndio sababu President Lowasa alisema 1:Elimu 2:Elimu 3:Elimu
 
Hata nchi itakua na mabadiliko baada ya october 25,
yule mwengine ni pushup na kucheza viduku jukwaani.
 
Mimi nilisema tokea juzi baada ya Lowassa kuitakia kheri stars tutashinda na tutafutane baada ya mechi....
Haya sasa.
 
Mwenye GUNDU yule Vasco Da Gama amekaribia kuachia nchi na mambo yananyooka.
 
Kuna mdau aliwahi kusema..Ikulu ni lango kuu la kuingizia baraka

Sasa kaz kwetu wapiga kura!!!! Baraka zishaanza hata kabla
 
Dah Hata Babu Yangu Aliitakia Ushindi Taifa Stars,kwel Babu Yangu Mpango Wa Mungu!!!

Unashangaa kuwa Babu yako ni mpango wa Mungu kwa vile wewe mjukuu umegeuka kuwa mpango wa Shetani? Namuomba sana huyo Babu yako akuombee sana kwani umepotea na kufuata njia za uovu.
 
hata mimi ni mpango wa Mungu maana niliitakia sana stars ushindi na kweli imeshinda.
 
Rais wa mioyo ya Watanzania na mgombea urais wa Chadema Kamanda Lowasa jana aliitakia ushindi timu ya Taifa ya Tanzania.Ikiwa ni pamoja na kuwataka watanzania kujitokeza na kuiombea timu yao.Hatimae Taifa iliibuka kidedea hapo jana..Mungu ibariki Stars,Mungu mbariki Lowasa
 
Cheki hapo
 

Attachments

  • 1444295502418.jpg
    1444295502418.jpg
    57.2 KB · Views: 90
Back
Top Bottom